FA aingiza sokoni bidhaa zake

0
47

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Mwana Fa ameingiza sokoni bidhaa zake mpya za manukato zitakazoanzwa kuunzwa hivi karibuni nchini Tanzania.

Uwezekano Upo… Kila Wakati… Ndoto Zinaweza Tu Kutimia Tukizikazania. Nawashukuru Kwa Support Na Naamini Tutafanya Vizuri Na Hii. Asanteni Sana.Ameandika hayo kupitia akaunti yake ya Insagram

Waungwana, ndugu zangu wapendwa, body sprays zetu hizi hapa @FYNbyFalsafa; BLUE ya kiume na PINK ya kike… imagine bei ya jumla ni TZS 4,000 kwa moja.

Pia mwanamuziki huyo amesema kuwa Kuanzia wiki ijayo mzigo utakuwa madukani kwa hiyo watu wake wakae tayari kwa bidhaaa hiyo.

Bidhaa hizo ni ya kwanza kwa msanii huyo kuiingiza sokoni ambapo amepongezwa na wasanii wenzake akiwemo Alikiba, Idriss Sultan, AY na wadau wengine wa burudani.

LEAVE A REPLY