EP ya Zuchu yafikisha watazamaji Milioni

0
39

Ep ya Mwanamuziki Kutoka Wcb Wasafi Zuchu iitwayo ‘Iam Zuchu’ imefanikiwa Kufikisha Streams Zaidi Ya Million 2 Kwenye Platform Ya Boomplay.

Baada Ya Kufikisha Wasikilizaji Hao Zuchu Ameandika ”I AM ZUCHU EP imefikisha 2,000,000 streams boomplaymusic EP YANGU NDO INAKUA EP/Album YA KWANZA KUFIKISHA 2,000,000 STREAMS Boomplaymusic.

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Zuchu
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Zuchu

Pia amesema kuwa Asante kwa kila aliechukua muda wake kustream na kufownload ep yetu pendwa yani natamani ujunbe wangu wa shukrani umfikie kila mmoja wenu mujue kwamba nawapenda na nawashukuru mnoo.

LEAVE A REPLY