Ebitoke ageukia Bongo Fleva

0
147

Mchekeshaji Ebitoke amesema sasa hivi anataka afahamike kama mwanamuziki kwa sababu ameingia rasmi katika tasnia hiyo ya uimbaji.

Ebitoke amesema kuwa hakuna msanii yeyote anayemuweza kwa kuimba katika kiwanda cha Bongo Fleva kwasasa baada ya kuingia rasmi kwenye muziki.

 Ebitoke amesema kuwa ameingia kwenye muziki kwa sababu anaupenda na ana uwezo wa kuimba na wala hajafuata mkumbo kama wasanii wengine walivyofanya.

“Nataka nitambulike kama mwanamuziki na muigizaji, nimeingia kwenye muziki kwa sababu naupenda na nimeona nina uwezo wa kuimba.

Pia amesema kuwa “Tena naimba kuliko msanii yeyote wa hapa Bongo na hakuna anayenifikia, najua ni kawaida mashabiki kuongea na wapo watakaonipinga na wengine watanisapoti”.

LEAVE A REPLY