Drake ameongoza kwa mauzo ya nyimbo mwaka 2016

0
253

Mwanamuziki wa hip hop nchini Marekani, Drake ameongoza kwa mauzo ya nyimbo kuliko mwanamuziki yoyote duniani kwa mwaka 2016.

Shirikisho la Kimataifa la Nyimbo limesema kuwa nyimbo za mwanamuziki huyo zimefanikuwa kuongoza kuchezwa moja kwa moja mtandaoni, kuuzwa kama kanda pamoja kudownload kwenye mitandao.

Mafaniko hayo ya Drake yanatokana na mauzo ya albamu yake ya nne, Views ambayo alizindua mwaka jana na kupokelwa vizuri na mashabiki wa muziki huo ambapo ndiyo albamu ya kwanza nyimbo zake kuchezwa mara bilioni moja katika Apple Music.

Orodha ya kumi bora waliuza mwaka jana ni kama ifuatavyo

  1. Drake
  2. David Bowie
  3. Coldplay
  4. Adele

5.Justin Bieber

6.Twenty One Pilots

  1. Beyonce
  2. Rihanna
  3. Prince
  4. The Weeknd

 

LEAVE A REPLY