Dogo Janja asisitiza upendo kwa jamii

0
116

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Dogo Janja amefunguka  na kuwataka watu kuwa na upendo  na watu pale wanapokuwa hai na sio kusbiri mpaka pale watakapokufa.

Dogo Janja kupitia akaunti yake ya Instagram amesema kuwa watu wanapaswa kuonyeshana upendo wanapokuwa hai siyo mpaka mtu anapokufa ndiyo waonyeshe upendo huo.

Katika kurasa wake Dogo Janja aliandika “siku nikifa utataoa machozi lakini mimi sitayaona,utaleta maua lakini mimi sitayapokea, utanisifai asna lakini mimi sitakusikia utanisamehe makosa yangu lakini mimi sitayajua , utanimisi sana lakini sitafahamu na utauzinika sana lakini sitakuona.

Dogo Janja ametaka watu kuwa wakweli wa  wale wanaowapenda kabla hawajakufa na sio kujifanya mnafiki kuonyesha kuwa unampenda mtu akiwa tayari hajuia wala haoni kile unachokifanya.

LEAVE A REPLY