Dogo Janja aibiwa Power Window, Taa na Radio kwenye gari lake

0
342
Dogo Janja

Mkali wa hip hop, Dogo Janja ameingizwa mjini na watu wasiojulikana  baada ya kuibiwa baadhi ya  vitu kwenye gari lake aina ya Porte ikiwemo taa, radio na power window.

Dogo Janja kutokea pande za Tip Top Connection kupitia ukurasa wake wa Instagram ameelezea kusikitishwa na watu hao walioiba vitu vya gari kwa kumuomba mkuu wa mkoa wa Dra es Salaam, Paul Makonda kudhibiti hali hiyo.

dogo-janja

LEAVE A REPLY