Dj Khaled na Rihana kutumbuiza kwenye utoaji wa tuzo za Grammy

0
161

Wanamuziki maarufu wa Marekani, Dj Khaled na Rihana wanatarajia kutumbuiza kwenye hafla ya utoaji wa tuzo za Grammy nchini humo.

Mashabiki wa wanamuziki hao wapo tayari kuona wakiimba nyimbo yao ‘Wild Thoughts’ kwenye utoaji wa tuzo hizo zitakazofanyika January 28 mwaka huu.

Rihana
Rihana

Mbali na wasanii hao wengine waliopata nafasi  ya kutumbuiza kwenye sherehe hizo ni Byson Tiller na Cardi B.

Wengine ni Bruno Mars, Kesha, SZA, Luis Fonsi na Dady Yankee waliotamba na wimbo wa Despacito.

LEAVE A REPLY