Dimpozi akutana ‘uso kwa uso’ na Steve Nyerere

0
64

Muigizaji wa Bongo Movie, Steve Nyerere amekutaja uso kwa uso na msanii Ommy Dimpoz tangu ilipotokea mfarakano kati yao na kusababisha wawili hao kama kurushiana maneno katika mtandao wa kijamii.

Steve Nyerere aliwahi kusema maneno flani kuhusu hali ya kiafya aliokuwa nayo msanii huyo na hata Ommy aliporejea katika hali yake ilikuwa ngumu kwa Steve Nyerere kujitetea lakini alikiri na kuomba msamaha.

Hata hivyo wawili hao wameweza kukutana katika msiba wa Ruge Mutahaba na kuonekana wenye furaha na hakuna alieyekuwa na kinyongo na mwenzake kabisa

Moja ya wasanii aliowakuta pamoja alikuwa Riyama Ally ambae alisema kuwa amefurahi kuona wawili hao wakiwa pamoja na kuwa wako sawa.

LEAVE A REPLY