Diamond Platnumz ‘kila kona’ hadi kwa Malkia………U.I.N.G.E.R.E.Z.A

1
871

Unakumbuka siku ya Fiesta staa wa Nigeria, Tekno alipopanda jukwaani alimtaja Diamond Platnumz kama msanii mkubwa hapa Tanzania? Kwani alikosea?

Jawabu lake kwa hilo litategemea na mtazamo wa mtu binafsi lakin mtazamo wa gazeti la Uingereza la The Guardian ni kuwa ngoma ya staa wa huyo wa Nigeria PANA na ngoma ya staa Diamond Platnumz ya SALOME ndio ngoma zilizobamba zaidi Afrika kwa mwaka 2016.

Sio kwamba mastaa hawa peke yao ndio waliobamba zaidi lakini kwenye 10 bora ya gazeti hilo hawa wawili ndio waliopo juu.

Orodha kamili ni hii:

Tekno – Pana

Diamond Platnumz feat Rayvanny – Salome

Mr Eazi feat Joey B and Dammy Krane – Hollup

Patoranking feat Sarkodie – No Kissing Baby

Babe Wodumo feat Mampintsha – Wololo

Eugy x Mr Eazi – Dance for Me

Kwesta feat Cassper Nyovest – Ngudu

Yemi Alade – Koffi Anan

DJ Maphorisa feat Wizkid, DJ Buckz – Soweto Baby

Sauti Sol and Alikiba – Unconditionally Bae

Stori kutoka The Guardia ya Uingereza iko hapa

1 COMMENT

LEAVE A REPLY