Diamond Platnumz atajwa na CNN kama msanii bora wa Afrika

0
541

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ni miongoni mwa wasanii 10 bora kutoka Afrika waliotajwa na shirika la utangazaji la CNN la nchini Marekani.

Kwenye orodha hiyo wasanii wa Nigeria wametajwa na shirika hilo la utangazaji la CNN nchini Marekani ambao ni Burna Boy, Yemi Alade, Wizkid, Mr Eazi, na Tiwa Savage.

Wasanii waliotajwa kwenye orodha hiyo ni

  1. Burna Boy kutoka Nigeria
  2. Angelique Kidjo kutoka Benin
  3. Diamond Platnumz kutoka Tanzania
  4. Yemi Alade kutoka Nigeria
  5. Tiwa Savage kutoka Nigeria
  6. Wizkid kutoka Nigeria
  7. Mr. Eazi kutoka Nigeria
  8. Sho Madjozi kutoka South Africa
  9. Busiswa Gqulu kutoka South Africa
  10. Mwila Musonda kutoka Zambia

LEAVE A REPLY