Diamond Platnumz anabebwa na collabo? UKWELI NI HUU

0
508

Staa wa muziki Ali Kiba baada ya kukosa tuzo za MTV Mama alidai kuwa yeye kamwe hafikirii kufanya collabo na wanamuziki wakubwa isipokuwa tu endapo wanamuziki hao wataenda kumuomba yeye.

Je, kauli hiyo inamaanisha Diamond Platnumz anategemea collabo?

Ingawa Diamond Platnumz amefanya collabo na wasanii mbalimbali wa kimataifa lakini bado nguvu yake haip[o kwenye collabo.

Diamond amewika akiwa peke yake na nyimbo kama MBAGALA, KAMWAMBIE, NATAKA KULEWA n.k

Ingawa pia collabo zimemsaidia kuufukisha muziki wake mbali hususani ngoma alizofanya na wasanii wa Nigeria pamoja na hii collabo ya mwisho aliyofanya na marehemu Papa Wemba.

Muziki unahitaji collabo hata kama hazipo kwenye plan yako.

LEAVE A REPLY