Mastaa wa WCB Diamond Platnumz na Rayvanny kw apamoja wanatarajia kuwa miongoni mwa watumbuizaji kwenye utoaji wa tuzo za mchezaji bora wa Afrika zinazofanyika nchini Nigeria.
Mastaa hao wanatarajia ku-perform collabom yao matata ya SALOME
Cheki picha za maandalizi: