Diamond na Ali Kiba ‘Nani kulia, Nani kucheka MTV?

1
1063

Mastaa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz na Ali Kiba wanatarajia kumaliza ubishi wa nani mkali zaidi kati yao watakapopanda kwenye jukwaa la tuzo za MTV MAMA kuperform.

Mastaa hao wamealikwa kufanya performance kwenye Jukwaa moja la MTV MAMA 2016 Jijini Johannesburg kesho tarehe 22 ambapo mbali na shoo watakazofanya lakini pia watawania tuzo hizo kupitia vipengele viwili tofauti.

Mastaa wengine wanaotarajia kuonyesha ubora wao kwenye performance ni:

  1. Patoranking (Nigeria)
  2. Kwesta (Afrika kusini)
  3. Emtee (Afrika Kusini)
  4. Yemi Alade (Nigeria)
  5. Ycee (Nigeria)
  6. Cassper Nyovest (Afrika Kusini)
  7. Babes Wodumo (Afrika Kusini)
  8. Nasty C (Afrika Kusini)

1 COMMENT

LEAVE A REPLY