Diamond na Ali Kiba kumaliza ‘ubishi’ wa nani mkali Afrika Kusini?

0
6251

Fans wa Bongo Fleva duniani kote ambao wanatamani kuona nani bora kati ya mastaa Ali Kiba na Diamond Platnumz wanaweza kupata ‘ladha’ ya kwanza ya nani ni mkali zaidi.

Mastaa hao wamealikwa kufanya performance kwenye Jukwaa moja la MTV MAMA 2016 Jijini Johannesburg tarehe 22 Oktoba mwaka huu.

Mastaa wengine watakaofanya performance siku hiyo ni pamoja na:

Patoranking (Nigeria)

Kwesta (Afrika kusini)

Emtee (Afrika Kusini)

Yemi Alade (Nigeria)

Ycee (Nigeria)

Cassper Nyovest (Afrika Kusini)

Babes Wodumo (Afrika Kusini)

Nasty C (Afrika Kusini)

LEAVE A REPLY