Diamond atangaza ujio wa Wasafi Festival

0
304
Baadhi ya wasanii wa WCB

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amefunguka na kusema kuwa anatarajia kuanzisha tamasha la Wasafi Festival mwaka huu.

Diamond Platnumz ametangaza ujio wa tamasha kubwa jipya la Wasafi Festival ambalo litafanyika mwaka huu.

Mashabiki wengi wa muziki wamekuwa wakitamani kuona tamasha kama hilo kutoka kwa wasanii hao wa WCB.

Kupitia akaunti yake Instagram ameandika “Kama Naiona hiyo #WasafiFestival Huu Mwaka Sijui hata tuanzie Mkoa gani.
Mwaka juzi walifanya matamasha mawili makubwa likiwemo la Wasafi Beach Party lililofanyika Jangwani Sea Breezy jijini Dar es Salaam, na jingine mkoani Iringa.

LEAVE A REPLY