Diamond atangaza ujio wa Reality show ya WCB

0
253

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amethibitisha ujio wa reality show itakayoonyesha maisha halisi ya Label yake ya WCB.

Diamond ametumia ukurasa wake wa Instagram kutoa habari hiyo njema kwenda kwa mashabiki zake wanaosapoti kazi za WCB.

Kipindi hiko ambacho kitaonyesha maisha halisi ya kundi Zima la WCB kinatarajiwa kurushwa Wasafi Tv hapo siku za mbeleni.

Diamond alitoa taarifa hiyo alipokuwa njiani kuelekea nchini Uingereza ambapo anaenda kupiga shoo yake ya ‘A boy From Tandale.

LEAVE A REPLY