Diamond ashangazwa na wasanii wanaowarushia mashabiki hela

0
30

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amefunguka na kusema kwamba sio vizuri kwa wasanii kuwarushia mashabiki hela kwani wanahatarisha usalama wa mashabiki wao.

Wakati amemaliza kufanya show yake uwanja wa Mkapa kwenye kampeni za CCM, Diamond Platnumz alishindwa kuondoka baada ya kuwepo mshabiki wengi waliojitokeza katika uwanja wa Mkapa.

Diamond Platnumz ni kwamba Kuna wasanii wanawarushia watu hela kwenye show zao ili wawafuatwe jambo ambalo amesema sio kitu kizuri na badala yake ni kuwaacha tuu kama wanakupenda basi watakufuata.

Diamond amesema kuwa “Wasanii wengine wanawarushia watu hela, usiwarushie hela kama wanakupenda wacha watu wakufate”.

LEAVE A REPLY