Diamond ampongeza Alikiba kufunga ndoa

0
504

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amemtumia salamu za pongezi mpinzani wake Alikiba baada ya kufunga ndoa.

Diamond amefunguka kuwa amepewa taarifa za Alikiba kuoa siku ya leo, hivyo amemtumia salamu na kumtakia maisha mema ya ndoa.

Kupitia akaunti yake ya Instagram ameandika “Ni Mwendo wa Picha za Suti tu sasa hivi, Maana nisije nikafungua hata kashati nikajikuta Centro…Pole yenu Wa zee wa Gym, Kama Muscat Round hii🤣🤣🤣…. Wadau Nimeambiwa King Kiba kaoa leo…Mfikishieni Salam zangu, za Ndoa njema, na Maisha yenye Furaha, Amani na Baraka tele.

Alikiba jana amefunga ndoa na mpenzi wake  Aminah Rekish  mjini Mombasa nchini Kenya.

 

LEAVE A REPLY