Davido kufanya show sikukuu ya Eid jijini Dar es Salaam

0
436

Mwanamuziki nyota kutoka nchini Nigeria, Davido anatarajiwa kufanya show siku ya sikukuu ya Eid Fitr jijini Dar es Salaam.

Davido atatoa show hiyo katika ukumbi wa King Solomoni uliopo jijini Dar Es Salaam.

Mashabiki wameambiwa wakae mkaa wa kula kwa sababu anampango wa kumleta Davido katika sikukuu hiyo.

Mashabiki wake na wamekaa mkao wa kula kusbiria show hiyo kubwa , ukizingatia na ukubwa wa msanii huyo wa  Afrika.

LEAVE A REPLY