Darassa kawaponza waliokamatwa kwa uzembe barabarani?

0
1014

Unakijua kilichowaponza washkaji wanne waliokuwa kwenye gari wakicheza ngoma ya Darassa ‘Muziki’ na kutaka kusababisha ajali?

Kilichowaponza ni hiki hapa:

Mistari ya ngoma hiyo na beat ya nguvu.

Washkaji walifanya TOO MUCH!! Hata KAMA WALIIPENDA haikutakiwa kufanya HEYA HAYE wakati gari inakwenda.

Ngoma imendaliwa na maproducer watatu: Mr. Vs, Abbah and Mr T Touch.

LEAVE A REPLY