Darassa anatafuta maneno na #TeamSIMBA #TeamWCB #TeamDiamondPlatnumz?

2
1047

Staa wa HIP HOP, Darassa anaitafuta ‘biff’ na Diamond Platnumz au fans wanashindwa kuelewa kuwa ana lengo la kumsaidia Dangote?

Mwanzoni zilianza tetesi kuwa ngoma MUZIKI imeachiwa makusudi ili ifanye kazi moja tu kuifunika collabo ya Rich Mavoko na Diamond Platnumz ya KOKORO, ingawa Darassa alilikana hilo.

Kama hiyo haitoshi amekuja na ‘ushauri au diss’ kwa staa huyo wa WCB anayetumia a.k.a ya Simba kuwa kama Darassa ndo angekuwa Diamond basi aingejiita Simba kwasababu mnyama huyo ‘Wamasai humuua kirahisi tu’.

Darassa amedai kuwa Simba akizidiwa nguvu hupigwa na huwa wanauawa, je Platnumz yuko tayari ‘afunikwe?’.

Darassa ameanza kujisikilizisha mwenye BLAH BLAH au anatakiwe AWEKE MUZIKI?

2 COMMENTS

  1. Mziki umemshinda uyu darasa sion kama ana pointi. Na siku hizi simba hawauliwi kwa taarifa yake.amelewa sifa naona ani mda simrefu tunamsahau kwenye mziki mtaoneni wnyewe

LEAVE A REPLY