Country Boy aweka wazi mahusiano yake

0
107

Mwanamuziki wa hip hop nchini Country Boy amefunguka na kuweka wazi hali ya mahusiano ya kimapenzi na mwanamke aliyekuwa naye kwa Hivi sasa.

Country Boy ameongelea hadharani mapenzi yake kwa mara ya kwanza ambapo amesema ameamua kumuweka mpenzi wake ili kila mmoja afahamu.

Amesema kuwa kwasasa yupo kwenye mahusiano na anajua watu wengi hawakunizoea kumuona akiweka wazi mahusiano yake ila kwasasa ameamua kuweka wazi mahusian yake.

Pia amesema kuwa mpenzi wake huyo ni mtu anamuheshimu kwasababu alikuja wakati ana kipindi kigumu.

Lakini pia Country Boy pia amefungukia uhusiano Wake na msanii mwenzake anayeitwa Young Lunya ambapo amesema kuwa yeye na mwanamuziki huyo ni watu wa karibu.

LEAVE A REPLY