Country Boy ajiunga Konde Gang

0
50

Mwanamuuziki wa Bongo Fleva, Harmonize amemtambulisha msanii Country Boy kama msanii mpya wa lebo yake ya Konde Gang.

Konde Gang wamesema kuwa Country Boy ataachia nyimbo saba kwa wakati mmoja kwenye usiku uliopewa jina la Father Night.

Country Boy ameamua kujiunga na lebo hiyo baada ya kuachana na lebo yake ya awali na sasa rasmi yupo chini ya Harmonize.

Contury Boy anakuwa msanii wa nne kutambulishwa kwenye lebo hiyo baada ya Wasanii wengine wapya Cheed na Killy kusaini Konde Gang na kutambulishwa rasmi leo.

Baada ya kutambulishwa wasanii hao wanaungana na msanii Ibrah pamoja na Harmonize mwenyewe kutengeneza lebo hiyo aambapo kwasasa imekuja kwa kasi katika soko la muziki nchini.

LEAVE A REPLY