Chuchu Hans afunguka sababu ya kuachana na Ray

0
165

Muigizaji wa Bongo Movie, Chuchu Hans amefunguka na kuelezea kwa undani juu ya swala la kuachana kwake na mzazi mwenzie ambae  Ray Kigosi.

Hvi karibuni ziliibuka tetesi kuwa waili hao wameachana na kwamba Ray ameamua kumuachia nyumba mwanadada huyo.

Chuchu amesema kuwa kitu kikubwa wanayakiwa wat kujua ni kwamba wao hawakuwahi kuwa katika mahusiano lakini baada ya mashabiki kuzsha sana maneno wakaone isiwe tabu na kuamua kufanya kweli kama walivyotaka iwe.

Pia Chuchu Hans amesema kuwa sio kweli kuwa walikuwa wakiishi nyumba moja na ray  bali ray alimpangia nyumba pindi walipoingia katika mahusiano na alipopata mimba ya mtoto wake wa kiume.

Chuchu amesema kuwa watu wanatakiwa waelewe kuwa mashabiki ndio waliolazimisha pezi lake na ray na wala sio vinginevyo.

LEAVE A REPLY