Chuchu Hans adai hawezi kumchukia Ray

0
125

Muigizaji wa Bongo Movie, Chuchu Hansy amefunguka na kusema kuwa hawezi kumchukia msanii mwenzake Vicent Kigosi ‘Ray’ ambaye ni baba wa Mtoto wake.

Kwa Wiki kadhaa sasa kumekuwa na tetesi kuwa penzi la Ray na Chuchu Hansy limefika mwisho Baada ya kuwa kwenye mahusiano kwa miaka mingi na kuzaa pamoja Mtoto mmoja.

Chuchu amesema kuwa hawezi kumchukia Ray hata siku moja kwa sababu atabaki kuwa baba wa Watoto Wake hata kama wakiachana au wakiendelea kuwa wote.

Siwezi kabisa kuongelea mahusiano yangu na Ray kwa sababu hayo ni maisha yangu binafsi Lakini mimi na yeye tupo sawa kwa sababu tunalea mtoto kwa pamoja hivyo hamna shida”.

LEAVE A REPLY