Chid Benz awataka mashabiki kuacha kuwafananisha Alikiba na Jux

0
159

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Chidi Benz amezitaka baaadhi ya media nchini kuacha tabia ya kuwapaisha wasanii wasio na uwezo mkubwa na kuwaacha wale wenye vipaji.

Chid alitolea mfano kati ya wasanii wawili wa Bongofleva Alikiba na Jux ambapo Chidi Benz amesema kwamba iwapo utampaisha Jux zaidi na kumuacha Alikiba, ni sawa na kumuua Alikiba kiakili, kwani wawili hao hawawezi kulinganishwa kulingana nauwezo mkubwa laionao Alikiba.

Chid Benz amesema kuwa Jux sio msanii mkali kushinda Alikiba kwa hiyo kumfananisha na Alikiba siyo haki kwani Alikiba ana kipaji cha hali ya juu.

Pia amesema kuwa wanachomfanyia hawamfanyii hata Alikiba, mnamuua Alikiba kwa mawazo, mnachamnganya Alikiba kiakili, mnamtengua Alikiba kikazi, anakuwa anamuwaza waza Jux, watu wanamuangalia Jux, mnawaua waimbaji”,.

Mwisho Chid Benz amewataka kusapoti kazi za watu wenye vipaji kweli na kuacha kubagua kwa sababu yoyote ile, ili game iweze kukua zaidi na kuokoa wasanii wenye uwezo kutoanguka.

LEAVE A REPLY