Chemical aomba ushauri wa mapenzi

0
50

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Chemical ameomba ushauri na kutaka msaada kwa sababu anajiona hana bahati kwani kila wanaume anayetaka kuwa naye kwenye mahusiano anamkataa.

Kupitia akaunti yake ya Instagram Chemical ameandika “Wana wa Insta, Nipo hapa mbele yenu kuomba ushauri serious, nikisema nitajioa sio kwamba napenda, ila  mwenzenu sina bahati jamani.

Ameendelea kuandika kuwa nishatongoza sana ila wanaume msivyo na huruma hamuogopi kunikataa, najua sivutii kihivyoo ila mgenihurumiapo basi, hata wa kuja na kupita tu au kunichezea nitaridhika”.

“Sasa sijui, niendelee kutongoza labda siku moja nitabahatika, ama nisubiri upepo wa kisulisuli au niachane na mapenzi nijioe na nizeeke na kibikra changu msaada wenu tafadhali”.

LEAVE A REPLY