Saturday, July 24, 2021

COnte ampa shavu Cuadrado

Meneja wa Chelsea, Antonio Conte amesema winga wa Colombia, Juan Cuadrado ni miongoni mwa wachezaji ambao ana mipango nae katika kikosi chake kwa ajiri...

ARJEN ROBBEN KUKAA NJE WIKI SITA

Winga wa Bayern Munich, Arjen Robben atakosa mechi za kwanza za ufunguzi wa ligi kuu nchini Ujerumani 'Bundersliga' msimu ujao kutokana na kukaa nje...

Mwanzo wa mwisho wa Demba Ba? Avunjika vibaya mguu wa kushoto

Mshambuliaji wa zamani wa Newcastle United na Chelsea za Uingereza, Demba Ba amevunjika vibaya mguu wa kushoto wakati anaichezea timu yake ya sasa ya...

HATMA YA POGBA JULAI 31

Wakala wa mchezaji Paul Pogba, Mino Raiola amepanga tarehe ya mwisho ya kuamua mustakabali wa mchezaji huyo kuwa mwisho wa mwezi huu huku Madrid...

AMISSI TAMBWE KUWAVAA MEDEAMA KESHO?

Mshambuliaji wa klabu ya Yanga, Amissi Tambwe yupo fiti kuwavaa Medeama katika mchezo wa mzunguko wa tatu wa kombe la Shirikisho Barani Afrika baada ya...

SOBHI WA MISRI KUJIUNGA NA STOKE CITY

Winga wa timu ya taifa ya Misri, Ramadan Sobhi anakaribia kujiunga na klabu ya ligi kuu ya Uingereza ya Stoke City. Usajili wa mchezaji huyo...

BOURNEMOUTH YAKAMILISHA USAJIRI WA IBE KUTOKA LIVERPOOL

Bournemouth wamekamilisha usajiri wa winga wa klabu ya Liverpool, Jordon Ibe kwa mkataba wa miaka minne ambao umevunja rekodi ya klabu hiyo baada ya...

PATRICK KLUIVERT APEWA SHAVU PSG

  Mabingwa wa ligi kuu nchini Ufaransa Paris Saint-Germain 'PSG' imemteua mshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa ya Uholanzi, Patrick Kluivert kuwa mkurugenzi wa...

MECHI YA TWIGA STARS NA RWANDA YAAHIRISHWA

Mchezo wa kirafiki wa kimataifa kati ya timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania 'Twiga Stars' dhidi ya timu ya taifa ya wanawake ya...

CONTE RASMI DARAJANI

Klabu ya Chelsea ya Uingereza imemtambulisha rasmi kocha wake mpya, Antonio Conte kwenye mkutano wa waandishi wa habari unaondelea kwenye uwanja wa timu hiyo...

BREAKING NEWS: WALES JUU YA UINGEREZA KWENYE VIWANGO VYA SOKA

Shirikisho la soka dunning (FIFA) limetoa orodha mpya ya ubora wa viewing vya soka ambapo timu ya taiga ya Wales imewapiku mahasimu we, Uingereza...

REAL MADRID YASHUSHWA KWENYE KILELE CHA UTAJIRI

Hatimaye miamba ya soka ya Hispania na mabingwa wa ligi ya mabingwa wa Ulaya (Uefa Champions League), Real Madrid wameondolewa kwenye ufalme wa timu...

BALOTELLI ‘OUT’ LIVERPOOL

Kocha mkuu wa timu ya Liverpool Jurgen Klopp amemfukuza kwenye kikosi cha timu hiyo mshambuliaji wake, Mario Balotelli na kumruhusu kutafuta timu nyingine ya...

AZAM WAMWAGA BILIONI 23 VPL

Kampuni ya Azam limeingia mkataba mpya na shirikisho la soka nchini (TFF) kwaajili ya kuendelea kurusha moja kwa moja mechi za ligi kuu ya soka ya...

WENGER AMEKATAA KUMPA HENRY DILI LA UKOCHA

Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amekataa kumpa mshambuliaji na nahodha wa zamani wa timu hiyo Thiery Henry kibarua cha ukocha. Wenger amefikia uamuzi huo baada...

HAWA NDIO WACHEZAJI WANAOSHIKILIA 5 BORA YA KULIPWA PESA NYINGI ZAIDI...

Cristiano Ronaldo (Real Madrid)  £340,000   Lionel Messi (Barcelona) £325,000   Hulk (Shanghai SIPG) £325,000   Neymar (Barcelona) £310,000   Zlatan Ibrahimovic (Manchester United) £260,000

Payet out of Upton Park?

Mmiliki mwenza wa klabu ya West Ham, David Sullivan ameweka wazi kuwa kiungo wa timu hiyo na timu ya taifa ya Ufaransa Dimitri Payet...

MOST POPULAR

CELEBS

Kanda za Bob Marley zilizookotwa baada ya kupotea kwa miaka 40...

Kanda za maonyesho wa gwiji wa muziki wa Reggae Bob Marley ambazo ziliokotwa baada ya miaka 40 kwenye hoteli iliyotelekezwa jijini London zimetengezwa. Kanda hizo...

SPORTS

Harmonize atarajia mtoto na mpenzi wake Sarah

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize amefunguka na kusema kuwa mpenzi wake Sarah ana ujauzito mkubwa na muda wowote anaweza kujifungua. Harmonize amesema hayo wakati akipafomu...

Atletico Madrid yaibamiza Marseille na kutwaa ubingwa wa Europa Ligi

Klabu ya Atletico Madrid imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Europa ligi baada ya kuifunga Olympique Marseille 3-0 katika mchezo wa fainali uliofanyika jana. Magoli ya Atletico yakifungwa na Antoine Griezmann dakika ya 21 na...

De Gea ashinda tuzo Golden Glove

Golikipa wa Manchester United, David De Gea ameshinda tuzo ya Golden Glove award katika ligi kuu Uingereza akimshinda golikipa wa Manchester City, Ederson. Ameshinda tuzo...