Friday, September 18, 2020

Caf na Total zaingia mkataba wa miaka 8

Shirikisho la soka la Afrika (Caf) limeingia mkataba wa udhamini kwa miaka nane zaidi na kampuni kubwa ya gesi na mafuta ya Total ya...

Mkwasa kutangaza jeshi la kuwakabili Nigeria

Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Charles Boniface Mkwasa anatarajia kutangaza kikosi kwa ajili ya kambi ya awali ya wiki moja ikiwa ni maandalizi ya...

Juventus na Manchester United wafikia makubaliano ya awali

Klabu ya Manchester United imekaribia zaidi kumnasa kiungo wake wa zamani anayechezea Juventus ya Italia, Pau Pogba baada ya kukubali kuongeza pesa kufuatia kukataliwa...

Yanga kuondoka Jumamosi kuelekea nchini Ghana

Yanga SC inatarajia kuondoka nchini siku ya jumamosi kuelekea nchini Ghana kwa ajili ya mechi ya marudiano ya mashindano ya kombe la Shirikisho Afrika...

Rasmi: Mario Gotze arejea Borussia Dortmund

Borussia Dortmund imemsajili kiungo wa kimataifa wa Ujerumani na klabu ya Bayern Munich, Mario Gotze kwa mkataba wa miaka minne kwa dau la Paundi...

Julen Lopetegui apewa viatu vya Vicente del Bosque

Shirikisho la soka nchini Hispania "RFEF" limemtangaza rasmi, Julen Lopetegui kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa akichukua nafasi ya Vicente del Bosque aliyebwaga...

Mourinho: Lazima nichukue kifaa kingine kabla ya kufungwa kwa dirisha la...

Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho amesema klabu hiyo inahitaji kusaini mchezaji mwengine kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa ligi kuu nchini Uingereza...

Urusi yafungiwa kushiriki Olimpiki 2016

Mahakama ya upatanishi michezoni (CAS) imekataa rufaa ya kamati ya olimpiki ya nchi ya Urusi pamoja na wanamichezo 68 wa nchi hiyo ya kushiriki...

Hans Van de Pluijm ‘yupo yupo’ mpaka 2018

Kocha mkuu wa Yanga SC, Hans van der Pluijm amesaini mkataba mpya wa miaka miwili ili kuendelea kufundisha timu hiyo mpaka mwaka 2018. Kocha huyo...

Kocha James Nandwa afagilia usajili wake

Kocha mkuu wa timu ya Thika United, James Nandwa amesema anaamini usajili wa mshambuliaji raia wa Nigeria Ichi Chibueze utasaidia timu hiyo kwenye janga...

Kocha wa Ureno Fernando Santos asaini mkataba mpya na timu hiyo

Kocha wa timu ya taifa ya Ureno, Fernando Santos amesaini mkataba mpya wa miaka minne umbapo utamuweka katika timu hiyo mpaka mwaka 2020. Chama cha...

Manchester City hoi mbele ya Bayern Munich

Klabu ya Manchester City imefungwa goli 1-0 dhidi ya Bayern Munich kwenye mechi ya kirafiki iliyofanyika katika uwanja wa Allianz Arena nchini Ujerumani. Bayern Munich...

Yanga SC yaingia kambini kwa ajiri ya maandalizi dhidi ya Medeama...

Mabingwa wa Tanzania Bara, Yanga SC imeingia kambini katika hoteli ya Tiffany jijini la Dar es Salaam kwa ajiri ya maandalizi ya mechi ya...

Haruna Ramadhani Shamte asaini mkataba mpya Mbeya

Beki wa pembeni wa Klabu ya Mbeya City, Haruna Ramadhani Shamte amesaini mkataba mpya ili kuendelea kuitumikia timu hiyo yenye maskani yake jijini Mbeya. Klabu...

Klabu ya Liverpool yakamilisha usajili wa beki Ragnar Klavan kutoka Augsburg

Klabu ya Liverpool ya nchini Uingereza imekamilisha usajili wa beki wa kati, Ragnar Klavan kutoka timu ya Augsburg inayoshiriki ligi kuu nchini Ujerumani ‘Bundersliga’. Klabu...

Ligi kuu, EFL na FA zaanzisha sheria mpya kudhibiti tabia za...

Chama cha soka cha Uingereza na bodi zinazosimamia mchezo huo nchini humo vimeanzisha sheria mpya ya kadi nyekundu kwa wachezaji na maafisa wa vilabu...

Kocha wa Yanga SC ajigamba kutetea ubingwa

Kocha mkuu wa Mabingwa wa Tanzania Bara Yanga SC, Hans van Pluijm ameielezea ratiba mpya ya Ligi Kuu iliyotolewa na Shirikisho la Soka nchini...

Wes Morgan asaini mkataba mpya Leicester City

Nahodha wa Leicester City, Wes Morgan amesaini mkataba mpya na mabingwa hao wa Uingereza ambapo utamuweka kwenye klabu hiyo mpaka mwezi Juni 2019. Beki huyo...

Mancheste United kuwasubili Manchester City nchini China

Klabu ya Manchester United imeenda nchini China kwa ajiri ya maandalizi ya msimu mpya wa ligi kuu nchini Uingereza itakayoanza mwezi Agosti mwaka huu. Klabu...

Francis Cheka ageukia upromota wa ngumi

Bingwa wa zamani wa mchezo wa ndondi kwa mikanda ya WBC na WBO, Francis Cheka amefungua kampuni yake ya kuandaa na kusimamia mapambano mbalimbali...

Man United kupeleka £87m kwaajili ya kumnasa Pogba

Klabu ya Manchester United inajiandaa kupeleka ofa rasmi ya kumnunua kiungo wa kimataifa wa Ufaransa, Paul Pogba anayechezea timu ya Juventusya Italia. Baada ya tetesi...

Nani kuwa mchezaji bora wa Ulaya?

Shirikisho la soka Barani Ulaya "UEFA" limetoa orodha ya wachezaji 10 watakaowania tuzo ya mchezaji bora Ulaya kwa msimu wa mwaka 2015/2016 ifikapo Agosti...

Arsenal inakaribia kumsajili beki wa Bolton Wanderers

Klabu ya Arsenal ya Uingereza wamekubaliana na Bolton Wanderers kwaajili ya msajili beki wa timu hiyo, Rob Holding kwa ada ya uamisho wa paundi...

Steve Bruce kumrithi Roy Hodgson?

Meneja wa Hull City, Steve Bruce amehojiwa na Chama cha soka nchini Uingereza ''FA" kuhusu kupewa kazi ya kuwa kocha mkuu wa timu ya...

Ligi kuu Tanzania Bara msimu wa 2016/2017 kuanza Agosti 20

Shirikisho la soka nchini 'TFF' limetoa ratiba rasmi ya Ligi kuu Tanzania Bara msimu wa 2016/2017 ambapo ligi hiyo inatarajiwa kuanza Agosti 20 mwaka...

Zlatan kuwa ‘MUNGU’ wa Manchester United?

Mshambuliaji mpya wa klabu ya Manchester United ya Uingereza, Zlatan Ibrahimovich amemjibu mshambuliaji wa zamani na staa wa klabu hiyo Eric Cantona kuwa hawezi...

Liverpool yakaribia kumnasa Ragnar Klavan

Klabu ya Liverpool inakaribia kumsaini beki wa kati, Ragnar Klavan kutoka timu ya Augsburg inayoshiriki ligi kuu nchini Ujerumani 'Bundersliga'. Klabu hiyo inatarajia kulipa kiasi...

Ivo Mapunda apata shavu nchini Kenya

Aliyekuwa kipa wa Taifa Stars, Ivo Mapunda anatarajia kujiunga na klabu ya ligi kuu ya Kenya, AFC Leopards kwa mkataba wa mwaka mmoja baada...

Yanga bado ina nafasi kombe la Shirikisho?

Mabingwa wa Tanzania Bara, Yanga huenda bado ina nafasi ya kusonga mbele kwenye michuano ya kombe la Shirikisho Afrika baada ya TP Mazembe kutoka...

Gugu Zulu afariki dunia akipanda mlima Kilimanjaro

Dereva wa wa mbio za magari mwenye mafanikio kutoka Afrika Kusini, Gugulethu Zulu a.k.a 'The fastest brother in Africa' amefariki dunia leo hii wakati akipanda...

MOST POPULAR

CELEBS

Kanda za Bob Marley zilizookotwa baada ya kupotea kwa miaka 40...

Kanda za maonyesho wa gwiji wa muziki wa Reggae Bob Marley ambazo ziliokotwa baada ya miaka 40 kwenye hoteli iliyotelekezwa jijini London zimetengezwa. Kanda hizo...

SPORTS

Harmonize atarajia mtoto na mpenzi wake Sarah

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize amefunguka na kusema kuwa mpenzi wake Sarah ana ujauzito mkubwa na muda wowote anaweza kujifungua. Harmonize amesema hayo wakati akipafomu...

Atletico Madrid yaibamiza Marseille na kutwaa ubingwa wa Europa Ligi

Klabu ya Atletico Madrid imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Europa ligi baada ya kuifunga Olympique Marseille 3-0 katika mchezo wa fainali uliofanyika jana. Magoli ya Atletico yakifungwa na Antoine Griezmann dakika ya 21 na...

De Gea ashinda tuzo Golden Glove

Golikipa wa Manchester United, David De Gea ameshinda tuzo ya Golden Glove award katika ligi kuu Uingereza akimshinda golikipa wa Manchester City, Ederson. Ameshinda tuzo...