Friday, September 18, 2020

Guardiola amlipia kisasi Mourinho kwa Dortmund

Timu ya Machester City imefanikiwa kuwalipizia kisasi ndugu zao wa jiji la Manchester, Manchester United baada ya kuifunga Borussia Dortmund kwa mikwaju ya penati...

TFF yavitaka vilabu kukamilishe usajili mapema

Shirikisho la soka nchini TFF limezitaka vilabu vinavyoshiriki ligi kuu Tanzania Bara na ligi daraja la kwanza kukamilisha usajili wa wachezaji wao kwa ajili...

BREAKING NEWS: Pogba ‘SHETANI’ mpya Old Trafford?

Gazeti la SUN la Uingereza limeripoti kuwa Juventus na Manchester United zimeafikiana bei ya mchezaji wa kimataifa wa Ufaransa, Paul Pogba. Taarifa hiyo ya faraja...

Azam FC yang’ara Visiwani Zanzibar

Azam FC imeendelea kung’ara kwenye mechi za majaribio za kujiandaa na msimu ujao wa ligi kuu Tanzania Bara, baada ya kushinda 1-0 dhidi ya...

Johanna Konta atinga hatua ya tatu kombe la Rogers

Mchezaji wa Tenisi nambari moja kwa ubora nchini Uingereza, Johanna Konta ameifikia hatua ya tatu ya kombe la Rogers kwa kumfunga, Vania King kutoka...

Azam FC yakaribia kumsajili mshambuliaji wa Medeama

Klabu ya Azam FC imefikia makubaliano na Medeama FC ya Ghana kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wa timu hiyo, Enoch Atta Agyei. Mtendaji mkuu wa...

Thomas Ulimwengu kuibeba Yanga?

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania na timu ya soka ya TP Mazembe ya Congo, Thomas Ulimwengu huenda akaifanyia ‘ihsani’ timu ya Yanga...

Goti lamuweka nje Per Mertesacker

Beki wa kati wa Arsenal, Per Mertesacker atakosa mechi za kwanza za ufunguzi wa ligi kuu nchini Uingereza msimu ujao baada ya kuumia goti...

Miujiza kuipeleka Yanga nusu fainali (CAF)

Mabao mawili ya straika Mohammed Abass imeisaidia timu ya Medeama ya Ghana kupata ushindi wake wa kwanza kwenye kundi A la michuano ya kombe...

Breaking news: Gonzalo Higuain asajiliwa na Juventus kwa paundi milioni 75.3

Mshambuliaji wa kimataifa wa Agentina anayeichezea klabu ya Napoli ya Italia, Gonzalo Higuain amesajiliwa na Juventus kwa ada ya paundi milioni 75.3 kwa mkataba...

Juventus yaitandika Tottenham 2-1

Klabu ya Juventus imeifunga Tottenham 2-1 kwenye mechi ya kujiandaa na msimu mpya wa ligi iliyofanyika katika uwanja wa Melbourne nchini Australia mapema leo. Juventus...

Sam Allardyce: Mourinho ndiyo ataamua nafasi ya Rooney timu ya taifa

Kocha mpya wa Uingereza, Sam Allardyce amesema kwamba kocha wa Manchester United, Jose Mourinho ndiyo atakayoamua ni nafasi gani mshambulia wake Wayne Rooney ataichezea...

Samatta na Ulimwengu kuwakosa Wanigeria

Kocha wa timu ya taifa, Charles Boniface Mkwasa ametangaza kikosi cha wachezaji 24 watakaoanza maandalizi ya kucheza mchezo wa kukamilisha ratiba wa michuano ya...

Bara la Afrika kuingiza timu saba kombe la dunia

Rais wa shirikisho la soka duniani "FIFA", Gianni Infantino amesema ataiongezea Bara la Afrika nafasi ya timu mbili kwenye mashindano ya kombe la dunia...

Kaseja apata shavu Serengeti Boys

Golikipa wa zamani wa klabu ya Simba SC, Juma kaseja ameteuliwa kukaimu kwa muda nafasi ya kocha msaidizi wa Serengeti boys katika kambi itakayowekwa...

Tunajianda na mazoezi ya ligi kuu: Salum Mayanga

Kocha mkuu wa Mtibwa Sugar, Salum Mayanga amesema kwa sasa wanajianda na ligi kuu Tanzania Bara msimu ujao licha ya kupata mapungufu katika sehemu...

Azam FC yaweka kambi visiwani Zanzibar

Klabu ya Azam Fc imeenda visiwani Zanzibar kwa ajili ya kambi ya wiki moja kujiandaa na mechi ya Ngao ya jamii dhidi ya Yanga...

TANAPA yaidhamini timu ya taifa ya riadha

Timu ya taifa ya Tanzania katika mchezo wa riadha itayokwenda kuiwakilisha nchi katika michuano ijayo ya Olimipiki nchini Brazil imepata udhamini wa vifaa vya...

Kampuni ya SportPesa kuidhamini Hully City

Kampuni ya mashindano ya bahati nasibu, SportPesa inayodhamini ligi kuu nchini Kenya imetia saini mkataba wa kuidhamini klabu ya Hull City inayoshiriki ligi kuu...

Martial achukizwa na namba 11 United

Staa ghali zaidi kwa wachezaji wenye umri chini ya miaka 20, Anthony Martial, amekasirishwa na kitendo cha klabu yake ya Manchester United kutowasiliana nae...

Maradona: Higuain anakosea kwenda kwa wapinzani wetu Juventus

Mkongwe wa soka nchini Argentina Diego Maradona ameeleza kukasirishwa kwake na kitendo cha mshambuliaji wa timu ya Argentina, Gonzalo Higuain kujiunga na miamba ya...

Manchester derby nchini China ‘IMEFUTWA’

Mechi ya maandalizi ya msimu mpya wa ligi kati ya miamba ya jiji la Manchester nchini Uingereza, Manchester City na Manchester United 'IMEFUTWA'. Taarifa ya...

Usain Bolt arejea uwanjani kwa ushindi wa mita 200

Mkimbiaji mahiri wa Jamaica ambaye alikuwa shakani kushiriki mashindano ya Olimpiki baadae mwaka huu nchini Brazil, Usain Bolt amethibitisha kuwa yuko tayari kushindana baada...

Allegri: Tunajadiliana kumuuza Pobga

Kocha wa miamba ya soka ya Italia, Juventus Massimiliano Allegri amethibitisha kuwa uongozi wa klabu hiyo uko kwenye mazungumzo ya kumuuza kiungo wao anayewaniwa...

Moyes bosi mpya Sunderland

Klabu ya soka ya Sunderland ya Uingereza imemtangaza rasmi mocha wa zamani wa Manchester United na Everton, David Moyes kuwa kocha mkuu wa timu...

Manchester United yatandikwa na Borussia Dortmund

Klabu ya Manchester United imefungwa goli 4-1 dhidi ya Borussia Dortmund kwenye mechi ya kirafiki iliyofanyika nchini China hapo jana. Magoli ya Dortmund yamefungwa na...

Rasmi: Sam Allardyce kurithi mikoba ya Roy Hodgson Uingereza

Kocha wa Suderland, Sam Allardyce amechaguliwa kuwa kocha wa timu ya taifa ya Uingereza akichukua nafasi ya Roy Hodgson aliyejiuzuru baada ya kufungwa dhidi...

Rasmi: Andera Schurrle atua Borussia Dortmund

Klabu ya Borussia Dortmund imemsajili winga wa kimataifa wa Ujerumani, Andera Schurrle kutoka timu ya Wolfsburg ambapo dau la uhamisho huo ujawekwa bayana. Winga huyo...

Liverpool yakaribia kumsajili Georginio Wijnaldum kutoka Newcastle United

Klabu ya Liverpool ya nchini Uingereza imekubaliana na Newcastle United kwa ajili ya kumsajili kiungo, Georginio Wijnaldum kwa ada ya paundi milioni 25. Kiungo huyo...

MOST POPULAR

CELEBS

Kanda za Bob Marley zilizookotwa baada ya kupotea kwa miaka 40...

Kanda za maonyesho wa gwiji wa muziki wa Reggae Bob Marley ambazo ziliokotwa baada ya miaka 40 kwenye hoteli iliyotelekezwa jijini London zimetengezwa. Kanda hizo...

SPORTS

Harmonize atarajia mtoto na mpenzi wake Sarah

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize amefunguka na kusema kuwa mpenzi wake Sarah ana ujauzito mkubwa na muda wowote anaweza kujifungua. Harmonize amesema hayo wakati akipafomu...

Atletico Madrid yaibamiza Marseille na kutwaa ubingwa wa Europa Ligi

Klabu ya Atletico Madrid imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Europa ligi baada ya kuifunga Olympique Marseille 3-0 katika mchezo wa fainali uliofanyika jana. Magoli ya Atletico yakifungwa na Antoine Griezmann dakika ya 21 na...

De Gea ashinda tuzo Golden Glove

Golikipa wa Manchester United, David De Gea ameshinda tuzo ya Golden Glove award katika ligi kuu Uingereza akimshinda golikipa wa Manchester City, Ederson. Ameshinda tuzo...