Friday, January 22, 2021

Angalia kikosi cha Simba dhidi ya Ruvu Shooting leo

Simba leo inashuka dimbani kupambana dhidi ya Ruvu Shooting kwenye mechi ya ligi soka Tanzania Bara katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Klabu...

Aubameyang aanza mazoezi Arsenal

Mshambuliaji mpya wa Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang ameanza mazoezi na timu hiyo akiwa mwenyewe. Mchezaji huyo alitangazwa kuwa mchezaji mpya wa Arsenal jana baada ya kukamilisha...

Arsenal wamalizana na Aubameyanga kutoka Dortmund

Klabu ya Arsenal imekamisha usajili wa mshambuliaji wa timu ya taifa ya Gabon, Pierre Aubameyang kutoka Borrussia Dortmund. The Gunners waliwasilisha maombi mawili ya kutaka...

Arsenal yapigwa 3-1 na Swansea City

Swansea City waliondoka kwenye eneo la hatari ya kushushwa daraja Ligi ya Premia kwa mara ya kwanza tangu Novemba baada ya kuwalaza Arsenal. Kosa la...

Beckham azindua timu yake nchini Marekani

Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Uingereza na klabu ya Manchester United, David Beckham amezindua timu yake ya soka huko Miami nchini...

Arsenal wamalizana na Aubameyang kutoka Dortmund

Arsenal imekubali kulipa kitita cha paundi milioni 55.4 kwa Borussia Dortmund kwa ajili ya ili kumsaini Pierre-Emerick Aubameyang. Arsenal imempatia, Aubameyang mkataba wa miaka mitatu...

Hiki ndiyo kikosi cha Simba dhidi ya Majimaji leo

Klabu ya Simba leo inashuka dimbani dhidi ya Majimaji kwenye mechi ya ligi kuu Tanzania Bara itakayofanyika katika uwanja wa Taifa jijini Dar es...

Sanchez kuanza kuitumikia Manchester leo

Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho anatarajiwa kuan­za kumtumia mchezaji wake mpya Alexis Sanchez kwenye mechi dhidi ya Yeovil Town kwenye kombe la FA...

Mourinho aongeza mkataba mpya Manchester United

Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho amesaini mkataba mpya wa miaka miwili na klabu hiyo mpaka 2020. Mkataba wake wa awali ndani ya klabu hiyo...

Tetesi za usajili Ulaya, Aguero kurejea Atletico Madrid

Klabu ya Manchester City huenda ikaingia katika makubaliano na Atletico Madrid kubadilishana mshambuliaji raia wa Argentina Sergio Aguero, mwenye umri wa 29, ili kwa...

Arsenal yaichapa Chelsea 2-1 na kutinga fainali kombe la Carabao

Klabu ya Arsenal jana imeifunga Chelsea 2-1 na kufanikiwa kutinga fainali ya kombe la Carabao ambapo itakutana na Manchester City. Kiungo Eden Hazard ndiyo alikuwa...

Henry akanusha kumshawishi Sanchez kujiunga Manchester United

Mchezaji wa zamani wa Arsenal, Thierry Henry amekanusha taarifa zilizozagaa kuwa alimshawishi Alexis Sanchez kuhamia katika Klabu ya Manchester United. Sanchez, alijiunga na Manchester United...

Tetesi za usajili Ulaya, Arsenal yaongeza ela kumsajili Aubameyang

Klabu ya Arsenal imeongeza kitita cha fedha kulipa kumsajili mchezaji wa Borussia Dortmund ambaye ni raia wa Gabon Pierre-Emerick Aubameyang, mwenye umri wa miaka...

Rais wa TFF atuma salamu kufuatia kifo cha kocha wa Mwadui

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia ametuma salamu za rambirambi kwa familia ya marehemu Jumanne Ntambi na wachezaji wa...

Hizi hapa rekodi za Sanchez na Mkhitaryan

Klabu za Arsenal na Manchester United jana zimekamilisha uhamisho wa nyota wawili Alexis Sanchez akitua Man United na Henrick Mkhitaryan akitua Arsenal ambapo dau...

Manchester United yamalizana na Sanchez atua rasmi Old Trafford

Manchester United imefanikiwa kukamilisha usajili wa mchezaji Alex Sanchez kutoka klabu ya Arsenal. Manchester United imtangaza rasmi Sanchez kuwa mchezaji wao na kwamba atakuwa akilipwa...

Simba yatakiwa kuzingatia sheria na kanuni za uwekezaji kwa klabu

Serikali imeiagiza Klabu ya Simba kuzingatia sheria na kanuni zinazosimamia suala la uwekezaji kwa Klabu zilizoanzishwa na wanachama ambapo inawataka kuchukua 51% na mwekezaji...

Kessi apagawa na kocha mpya wa Simba

Beki wa klabu ya Yanga, Hassan Kessy amesema kuwa rekodi za kocha mpya wa Simba, Pierre Lachantre ni nzuri sana.  Kessi ameonyesha kuwa na hofu...

Huu ndiyo mshahara wa Sachez akienda Manchester United

Mshambuliaji wa Arsenal, Alexis Sanchez anatarajiwa kusaini mkataba wa kujiunga na Manchester United muda wowote kuanzia sasa, inaelezwa kuwa atakuwa akilipwa mshahara wa pauni...

Wenger athibitisha Alexis Sanchez anakaribia kujiunga Manchester United

Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amethibitisha kuwa mshambuliaji wa klabu hiyo Alexis Sanchez atajiunga na Manchester United ndani ya masaa 24 yajayo. Sanchez mwenye umri...

Simba wamtangaza kocha mpya wa klabu hiyo

Klabu ya Simba leo imemtangaza kocha mpya wa klabu hiyo Pierre Lechantre kuchukua nafasi ya Joseph Omog aliyetimuliwa. Taarifa hiyo iliyotolewa na Msemaji Mkuu wa...

Didier Drogba ajenga shule ya msingi Ivory Coast

Aliyekuwa mshambuliaji wa klabu ya Chelsea na timu ya taifa ya Ivory Coast, Didie Drogba amejenga shule ya msingi nchini Ivory Coast. Shule hiyo inatarajiwa...

Tetesi za usajili Ulaya, Henrikh Mkhitaryan akubali kujiunga Arsenal

Klabu ya Chelsea wamezungumza na West Ham kuhusu kumsaini mshambuliaji wa klabu hiyo Andy Carroll kwa mkataba wa kudumu. Kiungo wa kati raia wa Armenia,...

Theo Walcott afuzu vipimo vya afya kujiunga Everton

Mchezaji wa klabu ya Arsenal, Theo Walcott amefuzu vipimo vya afya na kukubali dau la kujiunga na Klabu ya Evertonal. Taarifa zinaeleza, Walcott alionekana jana...

Daktari athibitisha afya ya Trump ipo sawa, hana matatizo ya akili

Rais wa Marekani, Donald Trump hajaonyesha dalili zozote za matatizo ya kiakili kufuatia uchunguzi wa kiafya na yuko la afya nzuri, daktari wa White...

Mourinho kusaini mkataba mpya Manchester United

Klabu ya Manchester United inakaribia kufikia makubaliano na kocha wake Jose Mourinho wa kuongeza mkataba mpya. Mazungumzo kati ya pande hizo mbili yanaendelea vyema na...

Ronaldo ataka kurejea Manchester United

Mchezaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo amesema kuwa hana furaha Real Madrid na anataka kurejea kwenye klabu yake ya zamani Manchester United. Ronaldo amekasirishwa...

Ronaldinho atundika ‘daruga’ rasmi

Nyota wa zamani wa timu ya taifa ya Brazil na vilabu vya Psg, Barcelona na Ac Milan Ronadinho Gaucho amestaafu soka. Licha ya Ronadinho kutocheza...

Aubameyang akubali kujinga na Arsenal

Mshambuliaji wa klabu ya Borussia Dortmund, Pierre-Emerick Aubameyang inaelezwa kuwa amekubali kuelekea Arsenal katika dirisha dogo la usajili. Mustakabali wa Aubameyang yamekuwa hayaeleweki kutokana na...

Obrey Chirwa afungukiwa mechi tatu na faini juu

Mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa amefungukiwa mechi tatu na kulipa faini ya Tsh. 500,000 kutokana na kosa la kumpiga mchezaji wa Tanzania Prisons kwenye...

MOST POPULAR

CELEBS

Kanda za Bob Marley zilizookotwa baada ya kupotea kwa miaka 40...

Kanda za maonyesho wa gwiji wa muziki wa Reggae Bob Marley ambazo ziliokotwa baada ya miaka 40 kwenye hoteli iliyotelekezwa jijini London zimetengezwa. Kanda hizo...

SPORTS

Harmonize atarajia mtoto na mpenzi wake Sarah

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize amefunguka na kusema kuwa mpenzi wake Sarah ana ujauzito mkubwa na muda wowote anaweza kujifungua. Harmonize amesema hayo wakati akipafomu...

Atletico Madrid yaibamiza Marseille na kutwaa ubingwa wa Europa Ligi

Klabu ya Atletico Madrid imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Europa ligi baada ya kuifunga Olympique Marseille 3-0 katika mchezo wa fainali uliofanyika jana. Magoli ya Atletico yakifungwa na Antoine Griezmann dakika ya 21 na...

De Gea ashinda tuzo Golden Glove

Golikipa wa Manchester United, David De Gea ameshinda tuzo ya Golden Glove award katika ligi kuu Uingereza akimshinda golikipa wa Manchester City, Ederson. Ameshinda tuzo...