Friday, January 22, 2021

Wanyama ashinda tuzo ya goli bora la mwezi february

Mchezaji wa timu ya taifa ya Kenya na klabu ya Tottenham Hotspurs, Victor Wanyama, amefanikiwa kushinda tuzo ya goli bora la mwezi February katika...

Nyota wanne waitwa kuipa nguvu Taifa Stars

Kocha wa Taifa Stars, Salum Mayanga leo ametaja majina ya wachezaji 23 watakaoingia kambini kwaajili ya michezo miwili ya kirafiki mwezi huu. Katika orodha hiyo...

Neymar asikitishwa PSG kutolewa michuano ya UEFA

Mshambuliaji wa Paris Saint-Germain, Neymar Jr ameeleza masikitiko yake baada ya kukosa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Real Madrid huku akishuhudia...

Hiki hapa kikosi cha Simba dhidi ya waarabu leo

Kocha Mkuu wa Simba, Mfaransa, Pierre Lechantre amepanga kikosi chake ambacho kitaanza leo kwenye mchezo wao dhidi ya Al Masry ya Misri. Mchezo huo utakaopigwa...

Mechi ya Manchester United na Crystal Palace yaacha rekodi

Mechi ya Manchester United dhidi ya Crystal Palace ambapo iliisha kwa Manchster United kushinda 3-2 imeacha rekodi nchini Uingereza. Moja ya rekodi ni klabu ya...

Mwakyembe atangazwa mgeni rasmi mechi ya Yanga na Township Rollers

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe leo anatarajia kuwa mgeni rasmi kwenye mchezo wa Yanga dhidi ya Township Rollers FC. Taarifa...

Espanyol yavunja rekodi ya Real Madrid

Klabu ya soka ya Real Madrid jana imefungwa 1-0 dhidi ya Espanyol kwenye mechi ya ligi kuu nchini Uhispania. Kabla ya mchezo huo Real Madrid...

Neymar ‘hati hati’ kuwakosa Real Madrid baada ya kuumia

Mshambuliaji wa klabu ya Paris St Germain, Neymar Junior amehumia na huenda akakosa mchezo wa klabu Bingwa barani Ulaya dhidi ya Real Madrid. Neymar aliteguka...

Gurdiola kushtakiwa na FA

Meneja wa Manchester City Pep Guardiola ameshitakiwa na Chama cha Soka nchini England kwa kuvaa nguo yenye 'Ribbon' ya njano inayodaiwa kubeba ujumbe wa...

Simba yaanza mazoezi kujiandaa na Mbao

Klabu ya soka ya Simba imeanza mazoezi ya kujiandaa na mchezo wake wa kiporo raundi ya 19 ligi kuu dhidi ya Mbao FC ya...

Sergio Roberto asaini mkataba mpya Barcelona

Kiungo wa Barcelona, Sergi Roberto ameongeza mkataba wa kuendelea kuitumikia timu hiyo hadi mwaka 2022. Roberto  mwenye umri wa miaka 26 amecheza michezo 34  msimu...

Rais wa FIFA awasili nchini

Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino amewasili Dar es Salaam kwa ajili ya kongamano maalumu la kutathmini maendeleo ya mpira wa...

Rais wa FIFA kuwasili nchini Februari 22

Rais wa Shirikisho la soka duniani (FIFA), Gianni Infantino anatarajiwa kuwasili nchini Februari 22 kwaajili ya mkutano mkuu wa mwaka wa FIFA Baada ya kuwa...

Real Madrid imekuwa timu ya kwanza kufikisha goli 6,000 ndani ya...

Klabu ya Real Madrid imekuwa timu ya kwanza kufikisha magoli 6,000 kwenye ligi ya La Liga baada ya jana kushinda 5-3 dhidi ya Real...

Mourinho akanusha kugombana na Pogba

Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho amesema kuwa ripoti kwamba kiungo wa kati wa klabu hiyo anajuta kujiunga na Man United na kwamba huenda...

Hiki hapa kikosi cha Simba dhidi ya Mwadui

Klabu ya Simba leo itashuka dimbani dhidi ya Mwadui kwenye mechi ya ligi kuu soka Tanzania Bara katika uwanja wa Kambarage mkoani Shinyanga. Kikosi kamili...

Zidane: Mechi ya leo si ushindani kati ya Ronaldo na Neymar

Kocha wa Real Madrid, Zinedine Zidane amesema mchezo wa leo ligi ya Mabingwa Ulaya kati ya timu yake na PSG sio ushindani wa Ronaldo...

Jeraha la kichwa lamlazimu mason kustaafu soka akiwa na umri wa...

Kiungo wa kati wa klabu ya Hull City nchini Uingereza, Ryan Mason amelazimika kustaafu akiwa na umri wa miaka 26 kufuatia jeraha la fuvu...

Nyoso akumbana na rungu la TFF

Shirikisho la Soka nchini, TFF limemfungia kutocheza mechi tano na faini ya shilingi milioni moja beki wa Kagera Sugar, Juma Nyoso kwa kosa la...

Ngoma kuanza mazoezi wiki hii baada ya kupona majeraha

Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma anategemewa kuanza mazoezi wiki hii baada ya kudaiwa kupona majeraha. Yanga kwasasa inaendelea na mazoezi yake kwenye Uwanja wa Chuo...

Bocco achaguliwa kuwa mchezaji bora mwezi Januari

Mshambuliaji wa Simba, John Bocco amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Januari wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL)Tanzania Bara.  Bocco ambaye pia ni nahodha wa...

Ajibu arejea kuikabili St. Louis ya Shelisheli leo

Mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Ajibu amerejea kwenye kikosi cha timu hiyo na leoakawepo kwenye orodha ya wachezaji watakaikabili St Louis ya Shelisheli. Yanga itawakaribisha wapinzani...

Mbwana Samatta aumia tena

Mshambuliaji wa KRC Genk, Mbwana Samatta ameumia tena kwenye mchezo wa jana wakati timu yake ilipoibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Zulte-Waregem kwenye...

Tenga achaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa BMT

Rais wa zamani wa Shirikisho la Soka la Tanzania(TFF), Leodgar Tenga ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa(TFF). Waziri wa Habari Utamaduni wa...

Alexis Sanchez ahukumiwa kifungo cha miezi 16 jela la sivyo alipe...

Mchezaji mpya wa klabu ya Manchester United Alexis Sanchez amehukumiwa jela miezi 16 kutokana na kosa la kukwepa kulipa kodi. Hukumu hiyo imetolewa jana ,Sanchez...

Hiki hapa kikosi cha Simba dhidi ya Azam leo

Klabu ya Simba leo inashuka dimbani dhidi ya Azam Fc kwenye mechi ya ligi kuu Tanzania Bara kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es...

Kikosi cha Yanga dhidi ya Njombe Mji leo

Klabu ya soka ya Yanga leo inashuka dimbani dhidi ya Njombe Mji kwenye mechi ya ligi soka Tanzania Bara katika uwanja wa Uhuru jijini...

Matokeo EPL: Chelsea wabamizwa 4-1na Watford

Klabu ya Watford imefunga Chelsea 4-1 kwenye mechi ya ligi kuu soka nchini Uingereza jana usiku. Chelsea ilicheza takriban saa moja ikiwa na wachezaji 10...

Harry Kane aingia kwenye orodha ya wafungaji bora Uingereza

Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane ameingia katika orodha ya wachezaji ambao wamefunga magoli 100 na kuendelea katika ligi kuu ya Uingereza. Kane ambaye jana...

MOST POPULAR

CELEBS

Kanda za Bob Marley zilizookotwa baada ya kupotea kwa miaka 40...

Kanda za maonyesho wa gwiji wa muziki wa Reggae Bob Marley ambazo ziliokotwa baada ya miaka 40 kwenye hoteli iliyotelekezwa jijini London zimetengezwa. Kanda hizo...

SPORTS

Harmonize atarajia mtoto na mpenzi wake Sarah

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize amefunguka na kusema kuwa mpenzi wake Sarah ana ujauzito mkubwa na muda wowote anaweza kujifungua. Harmonize amesema hayo wakati akipafomu...

Atletico Madrid yaibamiza Marseille na kutwaa ubingwa wa Europa Ligi

Klabu ya Atletico Madrid imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Europa ligi baada ya kuifunga Olympique Marseille 3-0 katika mchezo wa fainali uliofanyika jana. Magoli ya Atletico yakifungwa na Antoine Griezmann dakika ya 21 na...

De Gea ashinda tuzo Golden Glove

Golikipa wa Manchester United, David De Gea ameshinda tuzo ya Golden Glove award katika ligi kuu Uingereza akimshinda golikipa wa Manchester City, Ederson. Ameshinda tuzo...