Thursday, October 22, 2020

Yanga yatangaza mkutano wa dharura Oktoba 23

Klabu ya Yanga imetangaza kutakuwa na Mkutano Mkuu wa dharura utakafanyika Oktoba 23 mwaka huu. Mkutano huo unakuja huku ikiwa ni siku chache baada ya...

Ronaldo akataa kujiunga na klabu ya China ambayo ingemlipa mshahara wa...

Wakala wa Christiano Ronaldo, Jorge Mendes amesema kuwa Real Madrid imekataa takriban pauni milioni 250 na klabu ya China ambayo haikutajwa jina ili kumnunua...

Julio aitabiria ‘ubingwa’ Simba

Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ameitabiria ubingwa timu ya Simba baada ya kuanza kwa kasi na kuonesha kiwango cha hali ya juu katika mechi zake ilizocheza...

Christian Bassogog amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Afcon mwaka 2017

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Cameroon, Christian Bassogog amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika iliyomalizika nchini Gabon...

Bara la Afrika kuingiza timu saba kombe la dunia

Rais wa shirikisho la soka duniani "FIFA", Gianni Infantino amesema ataiongezea Bara la Afrika nafasi ya timu mbili kwenye mashindano ya kombe la dunia...

Harmonize atarajia mtoto na mpenzi wake Sarah

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize amefunguka na kusema kuwa mpenzi wake Sarah ana ujauzito mkubwa na muda wowote anaweza kujifungua. Harmonize amesema hayo wakati akipafomu...

Afcon kuanza kutimua vumbi kesho

Michuano ya 31 ya kombe la mataifa ya Afrika (Afcon) yanatarajiwa kuanza kutimua vumbi kuanzia kesho jumamosi kwa mechi ya ufunguzi kati ya wenyeji...

Kapombe amjibu Hanspoppe

Beki wa Simba, Shomari Kapombe ameibuka na kujibu tuhuma alizotupiwa na bosi wake, Zacharia Hans Poppe. Hans Poppe alimshushia lawama beki huyo kuwa amepona maje­raha...

Yanga yaingia mkataba wa miaka mitano na SportPesa

Kampuni ya Michezo ya Kubahatisha ya SportPesa ya nchini Kenya imetia saini mkataba wa kuidhamini Klabu ya Yanga kwa miaka mitano. Katika Mkataba uliosainiwa leo,...

Pogba kukaa nje ya uwanja kwa mwezi mmoja

Kiungo wa Manchester United, Paul Pogba anatarajiwa kukaa nje ya uwanja kwa mwezi mmoja baada ya kuumia misuli ya paja kwenye mechi ya klabu...

Simba yajikita zaidi kombe la FA ili ipae kimataifa

Klabu ya Simba imeapa kufa na Azam baada ya kuona njia pekee itakayowasaidia kushiriki michuano ya kimataifa msimu ujao ni kunyakua taji la Kombe...

BREAKING NEWS: Pogba ‘SHETANI’ mpya Old Trafford?

Gazeti la SUN la Uingereza limeripoti kuwa Juventus na Manchester United zimeafikiana bei ya mchezaji wa kimataifa wa Ufaransa, Paul Pogba. Taarifa hiyo ya faraja...

Mohamed Salah aipeleka Misri kombe la dunia

Mshambuliaji wa klabu ya Liverpool, Mohamed Salah ameisadia timu yake ya Misri kufuzu fainali za kombe la dunia baada ya kushinda kufunga goli mbili...

Matic ajiunga Manchester United kwa mkataba wa miaka mitatu

Manchester United wamekamilisha usajili wa kiungo wa kati wa Serbia Nemanja Matic kutoka Chelsea kwa ada ya uhamisho ya paundi milioni 40 baada ya...

Kamati ya uchaguzi ya TFF yaliondoa jina la Malinzi kwenye kinyang’anyiro...

Kamati ya uchaguzi ya shirikisho la soka Tanzania (TFF) jana limepitisha majina ya wagombea nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi ujao wa shirikisho hilo. Kamati hiyo imekutana...

TFF warekebisha Ngao ya Jamii walioshinda Simba

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limefanya marekebisho katika Ngao ya Jamii ambayo ilikosewa kuandikwa baada ya kuchanganya herufi kwenye maneno ya ngao hiyo. Ngao hiyo...

Liverpool yatupwa nje michuano ya Carabao Cup yapigwa 2-0 na Leicester...

Klabu ya Leicester City imefanikiwa kuwatoa Liverpool kwenye Kombe la Carabao baada ya kuwafunga 2-0 kwenye mechi iliyofanyika katika uwanja wa King Power. Mabao hayo...

Mechi ya Simba na Yanga marufuku uwanja wa Taifa

Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Nape Nnauye amepiga  marufuku mechi zote za Yanga na Simba kufanyikia uwanja a Taifa kutokana na uharibifu...

Tetesi za usajili Ulaya, Arsenal wajitoa mbio za kumnyakua Mbappe

Klabu ya Arsenal wamejitoa katika mbio za kumwania nyota wa Monaco Kylian Mbappe, 18, na sasa wataelekeza nguvu zao kumpata Alexandre Lacazette na Thomas...

La Liga: Bale aing’arisha Madrid dhidi ya Sociedad

Mshambuliaji wa Wales, Gareth Bale amefunga magoli mawili baada ya timu yake ya Real Madrid kushinda 3-0 dhidi ya Real Sociedad kwenye mechi ya...

Wenger awamwagia sifa wachezaji kutoka Afrika

Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amesema kuwa wachezaji kutoka nchi za Afrika wamekuwa ni wachezaji wenye umuhimu mkubwa katika kazi yake ukocha kwa miaka...

Harry Kane aingia kwenye orodha ya wafungaji bora Uingereza

Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane ameingia katika orodha ya wachezaji ambao wamefunga magoli 100 na kuendelea katika ligi kuu ya Uingereza. Kane ambaye jana...

Tetesi za usajili barani Ulaya leo, Chelsea kumsajili Chamberlain

Klabu ya Chelsea wanazidi kupata uhakika wa kumsajili kiungo wa Arsenal Alex Oxlade-Chamberlain kwa pauni milioni 35. Chelsea wamempa masharti kadhaa Diego Costa, 28, ambayo...

Rio: Afrika yavunja rekodi nyingine ya riadha

Mwanariadha wa Afrika Kusini, Wayde van Niekerk ameungana na mwanariadha wa Ethiopia Almaz Ayana kuvunja rekodi ya ukimbiaji nchini Brazil. Mwanariadha huyo wa Afrika Kusini...

Pluijm aikubali Mbeya City

Kocha wa Yanga, Hans van Pluijm ameikubali Mbeya City na kusema ni timu nzuri yenye uwezo wa kucheza dakika 90 kwa ushindani. Aidha kocha huyo...

Tetesi za usajili barani Ulaya, Ma City kuvunja rekodi ya dunia...

Klabu ya Manchester City imesema kuwa wapo tayari kuvunja rekodi ya dunia kwa kutoa pauni milioni 275 na kutengua kipengele cha ada ya uhamisho...

Yanga yalazimishwa sare ya 1-1 na Wacomoro uwanja wa taifa

Klabu ya Yanga imeshindwa kutamba uwanja wa nyumbani baada ya kutoka 1-1 na timu ya Ngaya kutoka Comoro kwenye mechi ya ligi ya klabu...

Feberbehce ya Uturuki yavutiwa na Mbwana Samatta

Klabu ya Fenerbehce ya Uturuki imeonyesha nia ya kumsajili mshambulizi Mbwana Samatta KRC Genk ya Ubelgiji. Kwa sasa, mkongwe Robon van Persie ndiye kiongozi wa...

Schmeichel: Leicester City inaweza kushuka daraja

Kipa wa klabu ya Leicester Kasper Schmeichel amesema kuwa timu hiyo huenda ikashuka daraja iwapo itaendelea kupoteza mechi zake. Klabu hiyo wapo nyuma kwa pointi...

MOST POPULAR

CELEBS

Kanda za Bob Marley zilizookotwa baada ya kupotea kwa miaka 40...

Kanda za maonyesho wa gwiji wa muziki wa Reggae Bob Marley ambazo ziliokotwa baada ya miaka 40 kwenye hoteli iliyotelekezwa jijini London zimetengezwa. Kanda hizo...

SPORTS

Harmonize atarajia mtoto na mpenzi wake Sarah

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize amefunguka na kusema kuwa mpenzi wake Sarah ana ujauzito mkubwa na muda wowote anaweza kujifungua. Harmonize amesema hayo wakati akipafomu...

Atletico Madrid yaibamiza Marseille na kutwaa ubingwa wa Europa Ligi

Klabu ya Atletico Madrid imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Europa ligi baada ya kuifunga Olympique Marseille 3-0 katika mchezo wa fainali uliofanyika jana. Magoli ya Atletico yakifungwa na Antoine Griezmann dakika ya 21 na...

De Gea ashinda tuzo Golden Glove

Golikipa wa Manchester United, David De Gea ameshinda tuzo ya Golden Glove award katika ligi kuu Uingereza akimshinda golikipa wa Manchester City, Ederson. Ameshinda tuzo...