Wednesday, January 27, 2021

Victor Moses kukaa nje ya uwanja kwa wiki nne

Mchezaji wa Chelsea, Victor Moses anatarajiwa kukaa nje ya uwanja kwa mwezi mmoja baada ya kuumia kwenye mechi dhidi ya Crystal Palace ambapo walifungwa...

Tetesi za usajili Ulaya, Manchester United kumsajili Sanchez

Manchester United imewasilisha ombi la dau la £25m kumsajili mshambuliaji wa Arsenal na raia wa Chile Alexis Sanchez. Sanchez angependelea kujiunga na Manchester City, lakini...

Tetesi za usajili barani Ulaya, Chelsea kumsajili Alex Sandro kutoka Juve

Kocha wa Chelsea Antonio Conte atakabidhiwa pauni milioni 150 zaidi za usajili huku akitaka kumchukua Virgil van Dijk, 26, kutoka Southampton na beki wa...

Tetesi za usajili barani Ulaya leo, Man U kumsajili beki wa...

Manchester United wanataka kumsajili beki wa kulia wa Paris Saint-Germain Serge Aurier, 24, ambaye kwa sasa amepigwa marufuku kuingia Uingereza. Manchester United wamemuulizia kiungo wa...

Ratiba mpya ya ligi kuu Uingereza msimu wa 2017/18

Chama cha Soka nchini Uingereza (FA) kimetoa ratiba ya ligi msimu mpya wa 2017/17 utakaoanza Agosti 12 mwaka huu. Mechi za ufunguzi Jumamosi, 12 Agosti,...

Kikosi cha Simba kitakachosafiri kuelekea Misri

Klabu ya soka ya Simba imetangaza kikosi kitakachoondoka leo kuelekea Misri kwaajili ya mchezo wa marudiano wa Kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya...

Tetesi za usajili barani Ulaya leo, Maurinho kumsajili Gareth Bale

Kocha wa Real Madrid, Zinedine Zidane amesema kuwa anaamini klabu yake lazima imuuze Gareth Bale ikiwa inataka kumsajili Kylian Mbappe, 18, kutoka Monaco. Manchester United...

Maamuzi ya rufaa ya Simba dhidi ya Kagera Sugar kujulikana Alhamisi...

Kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa Ligi kuu Tanzania Bara imefanya kikao chake siku ya Ijumaa jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kupitia...

Ronaldo ameandaa nyumba ya bilioni 13/- kwa ajili ya watoto wake...

Mchezaji wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo ameandaa nyumba yenye thamani ya Sh bilioni 13 kwa ajili...

Hiki hapa kikosi cha Simba dhidi ya waarabu leo

Kocha Mkuu wa Simba, Mfaransa, Pierre Lechantre amepanga kikosi chake ambacho kitaanza leo kwenye mchezo wao dhidi ya Al Masry ya Misri. Mchezo huo utakaopigwa...

Atletico Madrid yaibamiza Marseille na kutwaa ubingwa wa Europa Ligi

Klabu ya Atletico Madrid imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Europa ligi baada ya kuifunga Olympique Marseille 3-0 katika mchezo wa fainali uliofanyika jana. Magoli ya Atletico yakifungwa na Antoine Griezmann dakika ya 21 na...

Tetesi za usajili barani Ulaya, Barcelona wamgeukia Hazard

Baada ya kumuuza Neymar kwenda PSG klabu ya Barcelona wanataka kumsajili kiungo mshambuliaji wa Chelsea Eden Hazard ili kuzipa pengo la mchezaji huyo. Cezar Azpilicueta,...

Kikosi cha Simba dhidi ya Mwadui leo, Niyonzima nje

Mechi ya ligi kuu Tanzania Bara inaendelea tena leo, Simba SC itakutana na Mwadui katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Kikosi cha kwanza...

Chirwa kuikosa mechi ya Simba na Yanga

Mshambuliaji wa klabu ya Yanga Obrey Chirwa, jana amefikisha idadi ya kuwa na kadi tatu za njano katika ligi. Chirwa ambaye ni raia wa Zambia,...

Tetesi za usajili Ulaya, Manchester City yatenga paundi 60m kwa ajili...

Klabu ya Tottenham hawapo tayari kupokea dau lolote kutoka kwa Chelsea kwa ajili ya Danny Rose, 27, huku Chelsea wakiwa tayari kumlipa mshahara mara...

Kikosi cha Yanga dhidi ya Stand United hiki hapa

Klabu ya Yanga imetangaza kikosi chake kitakachooanzisha mashambulizi dhidi ya Stand United leo kwenye Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga.

De Gea ashinda tuzo Golden Glove

Golikipa wa Manchester United, David De Gea ameshinda tuzo ya Golden Glove award katika ligi kuu Uingereza akimshinda golikipa wa Manchester City, Ederson. Ameshinda tuzo...

Wachezaji wa Man United wanalipwa mishahara ‘minono’ zaidi duniani

Kwa mara ya kwanza klabu ya Manchester United imeipiku miamba ya soka ya Hispania, Barcelona kwenye vilabu vinavyolipa vizuri zaidi wachezaji wake duniani. Kwa mujibu...

Kikosi cha simba dhidi ya Prisons hiki hapa

Klabu ya Simba imetangaza kikosi chake kitakacho shuka uwanjani hii leo kuwakabili Tanzania Prisons. Kwenye kikosi hicho cha Simba SC wachezaji watakao anza ni, John...

Tetesi za usajili barani Ulaya, PSG mbioni kukamilisha usajili wa Neymar

Klabu ya Paris Saint_Germain wana uhakika wa kukamilisha uhamisho wa pauni milioni 198 wa Neymar, 25, kutoka Barcelona katika siku 15 zijazo. Barcelona watajaribu kumsajili...

UEFA: Matokeo ya mechi za jana klabu bingwa Ulaya

Klabu ya Leicester city wameibuka na ushindi wa pili katika michuano ya ulaya kwa kuichapa FC Porto kwa bao 1-0 katika nuwanja wa King...

Tetesi za usajili barani Ulaya leo Julai 23, Barcelona kumdondosha...

Barcelona wapo tayari kutoa pauni milioni 80 kumtaka Philippe Coutinho, 25, kutoka Liverpool. Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi, 30, ameiambia klabu yake kumsajili mshambuliaji wa...

Mambo 10 aliyoahidi Mo Dewji baada ya kukabidhiwa Simba

Baada ya kushinda zabuni ya uwekezaji katika klabu ya Simba mfanyabiashara nchini, Mohammed Dewji ametaja vipaumbele vyake 10 atakavyofanya ndani ya klabu hiyo ili...

Tetesi za usajili barani Ulaya leo July 12, Eric Dier kutua...

Kiungo wa timu hya Taifa ya Uingereza, Eric Dier anataka kuondoka Tottenham ili kujiunga na Manchester United ambao wanatarajiwa kutoa dau la pauni milioni...

Utafiti: Old Trafford ndio uwanja bora zaidi Uingereza

Mashabiki wa soka duniani hususani wapenzi wa ligi kuu ya Uingereza wameutaja uwanja unaotumiwa na Mashetani Wekundu, Manchester United kuwa uwanja bora zaidi kwenye...

Tetesi za usajili, Liverpool wakubali kumuuza Coutinho kwenda Barcelona

Klabu ya Liverpool wamekubali kumuuza kiungo Philippe Coutinho kwenda Barcelona kwa pauni milioni 148. Jose Mourinho anataka kumsajili winga wa Leicester City Riyad Mahrez ili...

Yanga vs Azam nani kuibuka mshindi leo Taifa?

Yanga SC na Azam FC leo zinashuka dimbani kucheza mechi ya ngao ya jamii kuashiria kuanza kwa ligi kuu Tanzania Bara ambapo mechi hiyo...

Brazil imekuwa timu ya kwanza kufuzu kombe la dunia 2018

Timu ya Taifa ya Brazil imekuwa timu ya kwanza kufuzu fainali za Kombe la Dunia nchini Urusi mwaka 2018 baada ya kuifunga Paraguay 3-0. Brazi...

Hiki hapa kikosi cha Simba dhidi ya Azam leo

Klabu ya Simba leo inashuka dimbani dhidi ya Azam Fc kwenye mechi ya ligi kuu Tanzania Bara kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es...

Samatta na Mkwasa walivyopishana ‘falsafa’ tuzo za FIFA 2016

Aliyekuwa kocha mkuu wa timu ya taifa, Taifa Stars Charles Mkwassa na aliyekuwa nahodha wa kikosi cake Mbwana Samatta wameonyesha kuwa ingawa wote walikuwa...

MOST POPULAR

CELEBS

Kanda za Bob Marley zilizookotwa baada ya kupotea kwa miaka 40...

Kanda za maonyesho wa gwiji wa muziki wa Reggae Bob Marley ambazo ziliokotwa baada ya miaka 40 kwenye hoteli iliyotelekezwa jijini London zimetengezwa. Kanda hizo...

SPORTS

Harmonize atarajia mtoto na mpenzi wake Sarah

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize amefunguka na kusema kuwa mpenzi wake Sarah ana ujauzito mkubwa na muda wowote anaweza kujifungua. Harmonize amesema hayo wakati akipafomu...

Atletico Madrid yaibamiza Marseille na kutwaa ubingwa wa Europa Ligi

Klabu ya Atletico Madrid imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Europa ligi baada ya kuifunga Olympique Marseille 3-0 katika mchezo wa fainali uliofanyika jana. Magoli ya Atletico yakifungwa na Antoine Griezmann dakika ya 21 na...

De Gea ashinda tuzo Golden Glove

Golikipa wa Manchester United, David De Gea ameshinda tuzo ya Golden Glove award katika ligi kuu Uingereza akimshinda golikipa wa Manchester City, Ederson. Ameshinda tuzo...