Saturday, September 23, 2017

Neymar aiataka PSG kumuuza Cavani dirisha la Januari

Mshambuliaji wa klabu ya PSG, Neymar Jr ameitaka klabu yake hiyo kumuuza mshambuliaji mwenzake Edinson Cavani baada ya wawili hao kuzozana kuhusu kupiga mkwaju...

Man U, Man City, Chelsea na Arsenal kibaruani tena leo

Leo mechi za kombe la Carabao zinaendelea nchini Uingereza kwa michezo mitano baada ya jana kushuhudia Liverpool akiyaaga mashindano hayo. Arsenal watakuwa nyumbani Emirates wakiwakaribisha...

Wachezaji wa Yanga warejea kufanya mazoezi leo baada ya kugoma jana

Wachezaji wa Yanga wamerejea kufanya mazoezi baada ya jana kugoma kutokana na kutolipwa mishahara yao. Mazoezi hayo yamefanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es...

Klopp aumizwa na kipigo kutoka kwa Leicester City

Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp amesema kuwa ameumizwa kwa timu yake kukubali kipigo cha kizembe cha mabao 2-0 dhidi ya Leicester City. Klopp ameyasema hayo...

Liverpool yatupwa nje michuano ya Carabao Cup yapigwa 2-0 na Leicester...

Klabu ya Leicester City imefanikiwa kuwatoa Liverpool kwenye Kombe la Carabao baada ya kuwafunga 2-0 kwenye mechi iliyofanyika katika uwanja wa King Power. Mabao hayo...

Klopp adai Chamberlain anahitaji muda wa kuzoea mfumo wa Liverpool

Kocha wa klabu ya Liverpool, Jurgen Klopp amesema winga mpya Alex Oxlade-Chamberlain anahitaji muda ili kuzoea na kuendana na mtindo wa uchezaji wa Liverpool. Chamberlain aliyesajiliwa...

Rio Ferdinand ageukiwa ndondi baada ya kuachana na mpira

Aliyekuwa beki wa timu ya Taifa ya Uingereza na klabu ya Manchester United, Rio Ferdinand ameamua kujikita kwenye masuala ya masumbwi kama mpiganaji. Hatua ya...

Rooney ahukumiwa kutoendesha gari kwa miaka miwili

Nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya England, Wayne Rooney amehukumiwa kutoendesha gari kwa miaka miwili sambamba na kufanya kazi za jamii kwa...

Kikosi cha Simba dhidi ya Mwadui leo, Niyonzima nje

Mechi ya ligi kuu Tanzania Bara inaendelea tena leo, Simba SC itakutana na Mwadui katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Kikosi cha kwanza...

Mayweather afunguka maisha yake ya ndondi na binafsi

Bondia Floyd Mayweather amefunguka kuhusu maisha yake ya ndondi na binafsi ikiwemo kuhusu kama atarejea kwenye ndondi au ndiyo amestaafu ukweli. Mayweather ambaye alitangaza kustaafu...

Sanchez aing’arisha Arsenal Europa ligi

Mshambuliaji wa Arsenal, Alexis Sanchez ameisadia klabu yake kutoka nyuma na kupata ushindi wa mabao 3-1 dhidi FC Cologne katika mechi ya Europa ligi...

Taifa stars yashuka nafasi tano kwenye viwango vya soka duniani

Taifa Stars imeshuka kwenye orodha ya viwango vya soka vilivyotolewa leo na shirikisho la soka duniani FIFA. Taifa Stars imeshuka kwa nafasi tano na kufikia...

Pogba kukaa nje ya uwanja kwa mwezi mmoja

Kiungo wa Manchester United, Paul Pogba anatarajiwa kukaa nje ya uwanja kwa mwezi mmoja baada ya kuumia misuli ya paja kwenye mechi ya klabu...

Jiji la Paris kuchaguliwa kuwa mwenyeji wa michuano ya Olimpiki 2024

Jiji la Paris limechaguliwa  na Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa kuwa mwenyeji wa michuano ya Olimpiki mwaka 2024. Jiji la Los Angeles nchini Marekani limeteuliwa...

Matokeo mechi zote, Uefa Champions League

Mechi za kombe la klabu bingwa Ulaya (UEFA) zimeendelea jana katika viwanja tofauti barani Ulaya kwa mechi nane. Matokeo ya mechi hizo zilikuwa kama ifuatavyo. Liverpool ...

Roy Hodgson arithi mikoba ya Frank De boer ndani ya Crystal...

Aliyekuwa kocha wa timu ya taifa ya Uingereza, Roy Hodgson ameteuliwa kuwa kocha wa klabu ya Crastal Palace akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Frank...

Shabiki aingia uwanjani na kutaka kumpiga teke Mbappe

Klabu ya Celtic imeshtakiwa na shirikisho la soka barani Ulaya Uefa baada ya shabiki mmoja kuingia uwanjani na kujaribu kumpiga teke mshambuliaji wa PSG...

Manchester United yarejea kwa kishindo klabu bingwa Ulaya (UEFA)

Manchester United imeanza vyema michuano ya klabu bingwa Ulaya (UEFA) baada ya kuifunga FC Basel kwa mabao 3-0 katika uwanja wa Old Trafford. Bao la...

Klabu bingwa Ulaya kuanza leo, Barcelona ‘uso kwa uso’ na Juventus

Michuano ya klabu bingwa barani Ulaya kwa msimu wa 2017/2018, utaanza leo rasmi kwa jumla ya michezo nane kupigwa katika viwanja mbalimbali. Katika kundi A...

IGP Sirro awataka wananchi kuisapoti timu ya jeshi la Polisi

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro ametoa wito kwa wananchi wanaopenda michezo hasa mpira wa miguu kuipa ushirikiano timu ya Polisi...

Crystal Palace wamtimua kocha wake, Frank De boer

Klabu ya Crystal Palace imemfukuza kocha wake Frank De boer kutokana na mwenendo mbovu wa timu hiyo kwenye ligi kuu chini Uingereza. De boer ameongoza...

Ronaldo aweka adharani bei ya perfume yake

Mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid na timu ya Taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo ametoa bei itakayo tumika kununulia perfume yake ya ‘CR7 Eau...

Bibiana Steinhaus amekuwa mwanamke wa kwanza kuchezesha mechi ya ligi kuu...

Refa Bibiana Steinhaus amekuwa mwanamke wa kwanza kuchezesha mechi ya Ligi ya Kuu ya Ujerumani, Bundesliga baada yake kuchezesha mechi kati ya Hertha Berlin...

Mambo matano anayofanya Neymar kabla ya kuanza kwa mechi

Kila binadamu anapenda kufanya jambo fulani kabla ya kuanza kwa kazi yake, wengine upenda kuswali kwa kumuomba Mungu awafanyie wepesi kwenye kazi zake za...

Kikosi cha Yanga dhidi ya Njombe Mji leo hiki hapa

Mabingwa watetezi Ligi kuu Tanzania Bara, Yanga wanashuka dimbani leo jioni kuwavaa Njombe Mji FC katika uwanja wa Sabasaba Jijini Njombe. Kikosi chao Yanga dhidi...

Ligi kuu Uingereza kuendelea leo, Manchester City ‘uso kwa uso’ na...

Ligi kuu Uingereza leo inaendelea tena katika viwanja tofauti kwa mechi saba ambapo mechi kubwa itawakutanisha Manchester City dhidi ya Liverpool itakayofanyika katika uwanja...

Mashindano ya magari milimani yaanza nchini Rwanda

Mashindano ya mbio za magari ya Rwanda Mountain Rally yameanza kutimua vumbi dereva kutoka Kenya Manvir Singh akitarajia kushinda na kuwa bingwa wa Afrika. Dereva...

Aveva na Kaburu mambo bado magumu, waendelea kusota rumande

Kesi ya uhujumu uchumi inayowakabili viongozi wa Simba, Evans Aveva na Geofrey Nyange 'Kaburu' imeendelea leo katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar...

Fenerbahce wamtaka Costa kwa mkopo

Klabu ya Fenerbahce ya Uturuki imefanya mazungumzo na wawakilishi wa mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa kuhusu uwezekano wa kumchukua kwa mkopo. Mchezaji huyo wa kimataifa...

Dirisha la usajili Uingereza kufungwa kabla ya ligi kuanza

Klabu za Ligi kuu nchini Uingereza zimepiga kura na kuidhinisha soko la kuhama wachezaji lifungwe kabla ya msimu kuanza mwaka ujao. Mameneja walikuwa wamelalamika kwamba...

MOST POPULAR

CELEBS

Kanda za Bob Marley zilizookotwa baada ya kupotea kwa miaka 40...

Kanda za maonyesho wa gwiji wa muziki wa Reggae Bob Marley ambazo ziliokotwa baada ya miaka 40 kwenye hoteli iliyotelekezwa jijini London zimetengezwa. Kanda hizo...

SPORTS

Bakayoko wa Chelsea apata ajali mbaya ya gari

Kiungo wa klabu ya Chelsea, Tiemoue Bakayoko amepata ajali mbaya ya gari jana jioni katika eneo la Blundel Lane wakati akitoka mazoezini akirudi nyumbani. Bakayoko...

Everton yamkata Rooney mishahara ya wiki mbili

Klabu ya Everton imemkata mishahara ya wiki mbili mshambuliaji wake, Wayne Rooney kufuatia kukutwa na kosa la kuendesha gari huku akiwa amelewa. Makato ya fedha...

Makonda kuzindua uwanja wa JKT Ruvu

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kesho anatarajia kuzindua uwanja wa klabu ya Ruvu JKT inayoshiriki Ligi Daraja la kwanza. Uzinduzi huo...