Saturday, July 11, 2020

Ishi Kistaa S01E10

Unapenda kukutana na staa gani wa Bongo? Unapenda zaidi wasanii wa tasnia ipi kati ya Bongo Fleva na Bongo movie? Je, mapenzi yako kwa staa wa Bongo yanaweza kukutoa mkoa wa mbali kwaajili ya kukutana nae na ‘kula bata pamoja nae’? Je, iwapo ISHI KISTAA itakugharamia kila kitu kuanzia...

Ishi Kistaa S01E03

Unajisikiaje pindi unapokuwa mshindi wa Episode ya Ishi Kistaa? Unapokuwa mwanafunzi ambaye una lengo la kutimiza ndoto za kuishi kistaa na MUNGU anapokujaalia nafasi hiyo kupitia ISHI KISTAA campaign, unajiskiaje? Unapotimiza ndoto yako ‘all the way from Dodoma’ unajiskiaje? It is real!!! Hayo yote na ziada yake yanaonekana wazi kwa mshkaji Juma...

Ishi Kistaa S01E04

Yawezekana hujawahi kufika kwenye mkoa fulani ndani ya Tanzania au wakati mwingine unaweza ukajikuta hujawahi kutumia huduma fulani. Mfano kupanda ndege au treni au hujawahi kukutana na staa unayemkubali zaidi. Nini kinafuata unapopata kile ulichokuwa unakiota? Ni SUPER CALLS’ Ukiwa na smart phone utaitumia kupiga selfie za ushahidi lakini vinginevyo ni simu...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Msami Baby afunguka kuhusu maisha yake ya kimuziki pamoja na Irene Uwoya kuolewa na Dogo Janja. Msami amefunguka hayo wakati akifanyiwa mahojiano na aliyekuwa mtangazaji wa Ishi Kistaa. Tazama mahojiano hayo hadi mwisho kwa ajili ya kumsikiliza Msami, Pia usisahau kusubscribe Youtube chanel yetu ijulikanayo kama Ishi...

Ishi Kistaa S01E02

Umeshawahi kukutana na Mwasiti Almas, yule staa wa KULIVUA PENDO hadharani? Yule binti wa Kigoma kutoka THT? Mwasiti Almas amekuwa moja ya surprise kubwa kwa fans wake siku zote kutokana na mvuto wake na uwezo wake wa muziki awapo jukwaani. Nani ambaye asingependa kumuona Mwasiti akiwa na Ali Nipishe kwenye PENDO? Basi uzuri wa...

Ishi Kistaa S01E08

Umeshawahi kukutana na Sharobaro a.k.a Bob Junior a.k.a rais wa Wasafi? Unaitamani nafasi hiyo? Usiishie kutamani tu, njoo ukutane nae, mpige stori na umuulize utakacho. Licha ya kuwa ndiye msanii aliyewasaidia kina Diamond Platnumz kutengeneza majina makubwa waliyonayo leo lakini yeye amebaki kuwa mtu wa kawaida ana asiyejikweza. Bob Junior mmiliki...

MOST POPULAR

CELEBS

Kanda za Bob Marley zilizookotwa baada ya kupotea kwa miaka 40...

Kanda za maonyesho wa gwiji wa muziki wa Reggae Bob Marley ambazo ziliokotwa baada ya miaka 40 kwenye hoteli iliyotelekezwa jijini London zimetengezwa. Kanda hizo...

SPORTS

Atletico Madrid yaibamiza Marseille na kutwaa ubingwa wa Europa Ligi

Klabu ya Atletico Madrid imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Europa ligi baada ya kuifunga Olympique Marseille 3-0 katika mchezo wa fainali uliofanyika jana. Magoli ya Atletico yakifungwa na Antoine Griezmann dakika ya 21 na...

De Gea ashinda tuzo Golden Glove

Golikipa wa Manchester United, David De Gea ameshinda tuzo ya Golden Glove award katika ligi kuu Uingereza akimshinda golikipa wa Manchester City, Ederson. Ameshinda tuzo...

Gerrard ateuliwa kuwa kocha wa Rangers

Kiungo wa zamani wa klabu ya Liverpool, Steven Gerrard ameteuliwa kuwa kocha mpya klabu ya Rangers ya nchini Scotlannd kwa mkataba wa miaka minne.   Gerrard...