Tuesday, January 28, 2020

Mastaa ‘Waliouona mwaka’ lakini ‘HAWAKUJAALIWA’ ‘kumaliza mwaka’

Tukiwa tunaelekea ukingoni mwa mwaka 2016 huku tukifahamu fika kuwa megi yametokea yenye mchanganyiko wa hisia, furaha, huzuni, majonzi, huruma, hasira n.k ishikistaa.com inapitia...

No more SELFIE with Jeniffer Lawrence? Awapiga STOP mashabiki wake

Staa wa filamu wa Marekani, Jennifer Lawrence ameanzaisha ‘ubaya’ na mashabiki wake kwa kuweka wazi nia ya ku-STOP kupiga selfie na mashabiki hao. Lawrence aliliambia...

Hizi 5 za Diamond Platnumz ‘ZIMEFUNIKA 2016’……views milioni 43 YouTube

Ushindani kwenye muziki nchini Tanzania hususani kwenye Bongo Fleva unazidi kuongezeka na hili limeweza kuwapa fursa kubwa sana ya kupata malipo makubwa wasanii wengi. Lakini...
video

Nini kimetokea kwa Chid Benz? Amerudia tena unga!!

Staa wa Hip Hop na mkali kutoka Ilala, Dar es Salaam, Chid Benz a.k.a FIRE amerudia tean kutumia dawa za kulevya. Chidi amerudia matumizi hayo...

Sony Music waomba radhi kwa taarifa za uzushi za kifo cha Britney Spears

Kampuni ya muziki ya ‘Sony Music’ imeomba radhi kwa kuandika habari za uongo juu ya kifo cha mwanamuziki wa Marekani, Britney Spears. Akaunti ya mtandao...

Barakah The Prince na Lord Eyez: Tatizo ukongwe au mafanikio kwenye kazi?

Kuna mengi yamezungumzwa tangu staa wa Rocka4000, Barakah The Prince alipoamua kuweka hadharani kuwa staa wa zamani wa kundi la WEUSI, Lord Eyez atakuwa...

Staa wa Pop George Michael amefariki dunia

Staa wa Pop kutoka nchini Uingereza, George Michael amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 53. Michael ambaye alianza muziki akiwa na kundi la Wham!...

Wema Sepetu awaweka fans wake roho juu kwa ‘ubuyu’

Staa wa Bongo Movie na mlimbwende wa zamani wa Tanzania, Wema Isack Sepetu huenda akawa ndiye staa wa kike ndani ya Bongo aliyewahi kuwa...

Staa umpendaye anajichanganya na nyiniyi?

Ni mara ngapi kwenye maisha umeona watu wenye utajiri, mali, fedha na dhamana kubwa ya madaraka wameweza kuishi maisha yanayofanana na watu wasio katika...

Ginuwine, Mya na kundi la 112 ndani ya Nairobi

Mastaa wa Marekani, Ginuwine, Mya na kundi la 112, wanatarajia kutumbuiza katika tamasha la The Plot litakalofanyika katika ukumbi wa Ngong Racecource Waterfront jijini...

Psquare wamaliza tofauti zao

Staa wa kundi la Psquare, Peter Okoye kutoka Nigeria ameomba msamaha kwa mashabiki wake kufuatia ugomvi na kaka yake Paul Okoye ambaye wanaunda kundi...

Shamsa Ford: Mimi bado nipo CHADEMA

Staa wa Bongo movie, Shamsa Ford amesema ataendelea kuwa mwanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) licha ya uchaguzi mkuu kumalizika mwaka jana. Staa...

Ney wa Mitego aziingia pingu za BASATA

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia kwa kipindi kisichojulikana staa wa Hip Hop nchini, Emmanuel Elibariki "Nay wa Mitego" kwa kosa la kuimba...

Beyonce akimbiza tuzo za MTV

Staa wa muziki nchini Marekani, Beyonce ameongoza kwenye vipengele vya tuzo za MTV Music Awards 2016 baada ya kutajwa kwenye vipengele 11 vya tuzo...

JB ndani ya igizo la “Kumekucha”

Staa wa Bongo movie, Jacob Steven ‘JB’ ameshiriki katika igizo la "Kumekucha" ambalo limeandaliwa kwa ajili ya kuhamasisha vijana kujishughulisha na kilimo kutokana na...

Aliyempiga kofi Justin Timberlake akamatwa

Mtu mmoja anayedaiwa kumpiga kofi staa wa muziki nchini Marekani, Justin Timberlake katika mchuano wa mcheo wa gofu katika Ziwa Tahoe katika mji wa...

Koffi Olomide jela miezi 18

Mwanamuziki wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Koffi Olomide amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja na nusu jela kwa kosaa la kumpiga teke mmoja wa...

Koffi Olomide akamatwa nchini Congo

Staa wa muziki kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Koffi Olomide amekamatwa akiwa nyumbani kwake mjini Kinshasa nchini humo. Olomide alitimuliwa kutoka nchini Kenya baada...

Foodles Production yashtakiwa kwa kusababisha Harrison Ford kuvunjika mguu

Kampuni ya filamu ya Foodles Production (UK) Ltd ambayo inatengeneza filamu maarufu za ‘Star Wars’ imekubali makosa mawili mahakamani baada ya muigizaji mkongwe Harrison...

Raymond: Baadhi ya wasanii wamekwamisha video ya wimbo wangu “Natafuta Kiki”

Staa wa Bongo fleva, Raymond amesema kwamba sababu kubwa ya kuchelewa kwa video ya wimbo wake ‘Natafuta Kiki’ ni kutokana na baadhi ya wasanii...

Mahakama ya India yamuachia huru Salman Khan

Staa wa Bollywood, Salman Khan ameachiliwa na mahakama nchini India kwa kosa la kumpiga risasi na kumuua mnyama wa mwituni aliye katika hatari ya...

Davido asaini mkataba na lebo ya RCA Records

Staa wa muziki kutoka nchini Nigeria, David Adeleke maarufu kama Davido amesaini mkataba mwingine na label ya RCA Records kutoka nchini Marekani ambapo itakuwa...

Shaa: nyimbo yangu mpya “Sawa” itakuwa na video mbili

Staa wa Bongo fleva, Sara Kaisi maarufu kama Shaa amesema wimbo wake mpya "Sawa" utakuwa na video mbili tofauti. Shaa amesema kwamba video ya kwanza...

DJ Khaled kuachia “Major Key” Julai 29 mwaka huu

Staa wa muziki nchini Marekani, DJ Khaled anatarajia kuachia albamu yake ya tisa inayokwenda kwa jina la "Major Key" ambayo itatoka Julai 29 mwaka...

Chidi Benz: Babutale ni mtu muhimu sana katika maisha yangu

Staa wa Hip-Hop nchini, Chidi Benz amesema meneja wa Tip Top Connection na Diamond Platnum, Babutale ni mtu mwenye umuhimu wa aina yake na...

Wolper ajiunga rasmi CCM

Staa wa Bongo movie, Jacqueline Wolper amejiunga rasmi na Chama tawala CCM baada ya kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo "CHADEMA" ambapo alikuwa mwanachama...

Profesa Jay aupa shavu muziki wa singeli

Staa wa Hip-Hop nchini, Joseph Haule  "Profesa J" ameusifia muziki wa singeli umbao unafanya vizuri sana katika jiji la Dar es Salaam kwasasa tofauti...

Wapewa likizo ili kuhudhuria uzinduzi wa filamu ya “Kabali” nchini India

Wafanyakazi kusini mwa India wamepewa likizo kutokana na uzinduzi wa filamu ya muigizaji, Rajinikanth inayoitwa kwa jina la "Kabali" ambayo itaoneshwa katika kumbi za...

Majonzi: Kundambanda wa Vituko Show afariki dunia

Muigizaji maarufu wa vichekesho nchini, Ismail Issa Makombe maarufu kama "Baba Kundambanda"  amefariki dunia akiwa nyumbani kwake Masasi mkoani Mtwara. Mchekeshaji huyo alipata umaarufu kupitia...

AFRIMMA 2016: Kiba, Diamond, Vee Money, Yamoto ndani

Mastaa wa Bongo fleva, Ali Kiba, Diamond Platnum, Vanesa Mdee na Linah wamechaguliwa kuwania tuzo za Afican Music Magazine Awards "AFRIMMA" zitakazo fanyika nchini...

MOST POPULAR

CELEBS

Kanda za Bob Marley zilizookotwa baada ya kupotea kwa miaka 40...

Kanda za maonyesho wa gwiji wa muziki wa Reggae Bob Marley ambazo ziliokotwa baada ya miaka 40 kwenye hoteli iliyotelekezwa jijini London zimetengezwa. Kanda hizo...

SPORTS

Atletico Madrid yaibamiza Marseille na kutwaa ubingwa wa Europa Ligi

Klabu ya Atletico Madrid imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Europa ligi baada ya kuifunga Olympique Marseille 3-0 katika mchezo wa fainali uliofanyika jana. Magoli ya Atletico yakifungwa na Antoine Griezmann dakika ya 21 na...

De Gea ashinda tuzo Golden Glove

Golikipa wa Manchester United, David De Gea ameshinda tuzo ya Golden Glove award katika ligi kuu Uingereza akimshinda golikipa wa Manchester City, Ederson. Ameshinda tuzo...

Gerrard ateuliwa kuwa kocha wa Rangers

Kiungo wa zamani wa klabu ya Liverpool, Steven Gerrard ameteuliwa kuwa kocha mpya klabu ya Rangers ya nchini Scotlannd kwa mkataba wa miaka minne.   Gerrard...