Tuesday, January 28, 2020

Hii ndio ‘BIG DREAM’ ya Mkubwa Said Fella. Unaweza kuishinda?

Sijui wewe ‘vision’ yako ikoje? Sijui una muono gani juu yako na kile unachotamani kukitimiza kwa miaka ijayo? Lakini meneja wa TMK Wanaume, Said Fella...

Mwanzo wa mwisho wa ushkaji wa Majani na Chameleone unaanzia hapa?

Unaikumbuka ngoma ya Profesa Jay ‘NIKUSAIDIEJE’? Ni ngoma ambayo kutokana na kutisha kwake ilipelekea staa wa Uganda Jose Chameleone naye kuiomba beat hiyo na...

Utofauti wa mitazamo ya mastaa wa Bongo kuhusu collabo na mafanikio yao

Miongoni mwa wasanii wenye nguvu na ushawishi mkubwa kwa sasa hususani kwa upande wa mastaa wa kiki basi Vanessa Mdee hawezi kukosekana kwenye TOP...

Diamond Platnumz ‘kapewa mil 36’ kufanya collabo na Akothee?

Staa wa Kenya na mshindi wa tuzo ya muimbaji bora wa kike Afrika Mashariki kwenye tuzo za AFRIMMA zilizotolewa nchini Afrika Kusini mwaka jana,...
video

Darassa anapozikataa ‘hekima’ za Mwana FA, AY na Madee….anapotea?

Staa wa HIP HOP ambaye kwa sasa hakuna swali shaka kuwa ngoma yake ya MUZIKI ndiyo inayo-bang zaidi kwenye ukanda wa Afrika Mashariki, Darassa...

Mtazamo wa Nikki wa Pili na kitendawili cha Diamond Platnumz na Ali Kiba

Kwenye moja ya interview zake mwaka jana, staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz alinukuliwa akitaja makamapuni kadhaa makubwa ya muziki yaliyotaka kumsaini ili awe...

Fid Q anapomfundisha Q Chillah ‘Elimu asiyoijua’ kwa njia ya ‘asiyoitarajia’

Kila mfuatiliaji wa muziki hapa nchini atakuwa anajua kuwa Ngosha Ze Don ni Fid Q na ndiye huyo huyo Farid Kubanda na wakati huo...

DJ Capital: Diamond Platnumz na Vanessa watanibeba kimataifa

Huku akiwa upande mmoja ni msanii na upande wa pili ni DJ wa muziki, DJ Capital anataka kufanya kazi na mastaa wa Bongo Fleva,...
video

HISTORIA: La La Land yakusanya tuzo zote kwenye vipengele ilikotajwa

Filamu mpya ya La La Land imefanikiwa kushinda tuzo saba kutoka kwenye vipengele saba ilivyotajwa kugombea kwenye tuzo za Golden Globe Awards’. Tuzo hizo ni...

‘Unga’ ni vita ya zaidi ya jamii na mastaa wa Bongo Fleva…..cheki

Unajua kuwa madhara ya dawa za kulevya hayako tu kwa mastaa wa Bongo Fleva au mastaa wa Bongo Movie? Unajua kuwa ingawa ni siri kubwa...
video

Nyota Ndogo: Moyo Sukuma Damu ni NOOOUMA….Wakenya Tukubali tu

Unamkumbuka staa wa Kenya, Nyota Ndogo? Au umeisahau ‘WATU NA VIATU?’. Kwnye sanaa sio kitu rahisi sana kwa mpinzani kunyoosha mikono juu na kwenda ‘Mwendo...
video

Diamond Platnumz ‘Simba’ na Rayvanny ‘wamfikisha’ SALOME AFCON

Simba wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz akiwa na nyota wa WCB, Raimond a.k.a Rayvanny jana walifunika kwa performance yao ya ngoma SALOME wakati wa...

Rapa Molemo ‘Jub Jub’ Maarohanye aachiwa kwa msamaha

Rapa mtata wa Afrika Kusini Molemo 'Jub Jub' Maarohanye, ambaye aliua watoto wanne wakati wa onyesho la mashindano ya magari ya kuvuta mizigo mwaka...

Diamond na Rayvanny kuwapa ‘SALOME’ wachezaji bora wa Afrika ‘USIKU HUU’

Mastaa wa WCB Diamond Platnumz na Rayvanny kw apamoja wanatarajia kuwa miongoni mwa watumbuizaji kwenye utoaji wa tuzo za mchezaji bora wa Afrika zinazofanyika...
video

Harmonize na Wolper ‘CHALIIIII?’ au ‘#TeamUjanja ujanja?

Ikiwa haijapita hata siku 5 tangu Wolper na Harmonize wapiugwe picha wakieana kiss moto moto kwenye onyesho lililofanyika Dar Live chini ya uandaaji wa...

JLO aomba ulinzi wa Mahakama kutokana na mhalifu anayemfuatilia ‘kimyakimya’

Staa wa Marekani, Jennifer Lopez a.k.a JLO ameomba msaada wa Mahakama ya jiji la Los Angeles uweze kumlinda dhidi ya jamaa aitwaye Timothy McLanahan...

Mastaa walioahidi ‘kusepa’ Trump akishinda uchaguzi na kauli zao

RAVEN -SYMONE Kauli yake: 'I will move to Canada if any Republican gets nominated' NE-YO Kauli yake: 'Me and Drake gonna be neighbors if Donald Trump becomes president'  GEORGE...

Carrie Fisher na Debbie Reynolds kuzikwa kwa heshima Hollywood

Familia ya mastaa Carrie Fisher na Debbie Reynolds zinapanga kufanya mazishi ya umma kwaajili ya wapendwa wao hao. Mazishi hayo yanakusudiwa kuwa tukio kubwa huko...

Darassa anatafuta maneno na #TeamSIMBA #TeamWCB #TeamDiamondPlatnumz?

Staa wa HIP HOP, Darassa anaitafuta ‘biff’ na Diamond Platnumz au fans wanashindwa kuelewa kuwa ana lengo la kumsaidia Dangote? Mwanzoni zilianza tetesi kuwa ngoma...

Schwarzenegger atwaa mikoba ya Trump kwenye ‘Apprentice’

Muigizaji mkongwe wa Hollywood, Arnold Schwarzenegger ameanza kuonekana kwa mara ya kwanza kwenye kipindi maarufu wa ‘The Celebrity Apprentice’. Arnold ambaye amerithi mikoba iliyoachwa na...

‘Tenda za mkwanja mrefu’ ndizo zilizoimaliza ndoa ya Berry na Martinez 2016

Hatimaye sababu ya vurugu za staa wa filamu wa Marekani, Halle Berry kulazimisha apewe talaka yake kabla ya kumalizika mwaka 2016 ‘imejulikana’. Staa huyo na...

Akon ashtakiwa na Prodyuza wake kwa utapeli

Prodyuza wa lebo ya Konvikt Entertainment iliyo chini ya staa, Akon, Leland Clopton amemfungulia mashtaka ya udanganyifu staa huyo na kutaka alipwe fidia ya zaidi...

Janet Jackson ajifungua mtoto wa kiume akiwa na miaka 50

Staa wa muziki wa Pop wa Marekani, Janet Jackson amefanikiwa kujifungua salama mtoto wa kiume na kuingia kwenye historia ya kuwa mmoja wa wasanii...
video

MUZIKI imefunika 2016: Ushahidi wa video za wazi huu hapa!!

Ngoma ya MUZIKI ya rapa Darassa imeingia kwenye rekodi nyingine ya hatari………….  Haina haja ya kuelezea mengi na kumaliza uhondo wa MUZIKI  hebu cheki...

Maria Careh ‘amehujumiwa’ mkesha wa mwaka mpya?

Staa mkongwe wa RnB wa Marekani, Mariah Carey ameingia kwenye mzozo na kampuni ya Dick Clark Productions baada ya kuwatuhumu ‘kumhujumu’ onyesho lake la siku...

Salome ya Diamond Platnumz ‘imenunua views YouTube’? Huu unaweza kuwa ushahidi

Unajua ni label gani imefunika kwa kuuza ngoma zake kwenye mtandao wa MKITO mwaka 2016? Rocka4000 imefunika tena, unajua kwanini? Kwasababu mastaa wake LadyJaydee na...

WCB kuko shwari?

Ingawa maneno mengi yanazungumzwa juu ya nafasi wanazopewa wasanii wa WCB kwenye kuachia kazi zao pamoja na kila mmoja kutaka kuthibitisha ubora wake lakini...

Hili la Kiba ‘King’ na Platnumz ‘Simba’……LINAWEZEKANA ni muda tu!!

Hakuna kilicho na mwanzo ambacho hakitakosa mwisho……iLIKUWA NGUMU SANA kujaribu kusema kuwa bifu ya Lady Jaydee na Clouds Media itaisha……….ilikuwa ngumu sana kuona shabiki...
video

New Video: Msanja ft Walter Chilambo – Monica

Mkali wa vichekeso kutokea Olijiono Komedi, Masanja Mkandamizaji ameachia video mpya ya wimbo wa Injili aliomshirikisha Walter Chilambo.

Diamond na Kiba 2017 ‘WATAUANA’! Mmoja akimwaga mboga, mwingine anamwaga……?

Mchuano wa kukusanya tuzo baina ya mastaa wa Bongo Fleva Ali Kiba a.k.a King na Diamond Platnumz bado unaendelea. Mastaa hao kwa mara nyingine tena...

MOST POPULAR

CELEBS

Kanda za Bob Marley zilizookotwa baada ya kupotea kwa miaka 40...

Kanda za maonyesho wa gwiji wa muziki wa Reggae Bob Marley ambazo ziliokotwa baada ya miaka 40 kwenye hoteli iliyotelekezwa jijini London zimetengezwa. Kanda hizo...

SPORTS

Atletico Madrid yaibamiza Marseille na kutwaa ubingwa wa Europa Ligi

Klabu ya Atletico Madrid imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Europa ligi baada ya kuifunga Olympique Marseille 3-0 katika mchezo wa fainali uliofanyika jana. Magoli ya Atletico yakifungwa na Antoine Griezmann dakika ya 21 na...

De Gea ashinda tuzo Golden Glove

Golikipa wa Manchester United, David De Gea ameshinda tuzo ya Golden Glove award katika ligi kuu Uingereza akimshinda golikipa wa Manchester City, Ederson. Ameshinda tuzo...

Gerrard ateuliwa kuwa kocha wa Rangers

Kiungo wa zamani wa klabu ya Liverpool, Steven Gerrard ameteuliwa kuwa kocha mpya klabu ya Rangers ya nchini Scotlannd kwa mkataba wa miaka minne.   Gerrard...