Tuesday, January 28, 2020

Jux na Vee Money kumwagana?

Huenda hii ikawa ndio couple pekee kwenye uwanja wa Bongo Fleva ambayo iko ‘OPEN’ na bado inaendelea kushamiri, ukiachilia couple ya Navy Kenzo. Ingawa tofauti...

Polisi watishia kumtia nguvuni 2face Idibia

Jeshi la Polisi nchini Nigeria limetahadharisha supastaa wa nchi hiyo, 2face Idibia kuwa watamtia nguvuni endapo ataendelea na mpango wake wa kuongoza maandamano kwenye...

Jumba la Nicki Minaj lavamiwa na wezi, wasepa na vito vya £140,000 (TZS 390m)

Polisi katika jimbo la Los Angeles nchini Marekani wanapeleleza kesi nyingine ya kuibiwa kwa staa ikiwa ni miezi michache tangu staa wa Marekani, Kim...

Utofauti wa mitazamo ya mastaa wa Bongo kuhusu collabo na mafanikio yao

Miongoni mwa wasanii wenye nguvu na ushawishi mkubwa kwa sasa hususani kwa upande wa mastaa wa kiki basi Vanessa Mdee hawezi kukosekana kwenye TOP...

Kim Kardashian Kendall kuuza sura kwenye Ocean’s Eight

Filamu mpya ya Ocean Eight ambayo itahusisha waigizaji wa kike pekee imeongeza idadi ya mastaa watakaoshiriki movie hiyo kwa kuwaingiza ndugu wawili wa familia...

Ray C apelekwa sober house Bagamoyo, uongozi wa sober wazungumzia

Muimbaji mkongwe wa muziki nchini, Rehema Chalamila ‘Ray C’ Ijumaa hii amepelekwa Life and Hope & Rehabilitation Centre (Sober House) iliyopo Bagamoyo kwa ajili...

Hili la Kiba ‘King’ na Platnumz ‘Simba’……LINAWEZEKANA ni muda tu!!

Hakuna kilicho na mwanzo ambacho hakitakosa mwisho……iLIKUWA NGUMU SANA kujaribu kusema kuwa bifu ya Lady Jaydee na Clouds Media itaisha……….ilikuwa ngumu sana kuona shabiki...

Barakah The Prince na Lord Eyez: Tatizo ukongwe au mafanikio kwenye kazi?

Kuna mengi yamezungumzwa tangu staa wa Rocka4000, Barakah The Prince alipoamua kuweka hadharani kuwa staa wa zamani wa kundi la WEUSI, Lord Eyez atakuwa...

Fid Q anapomfundisha Q Chillah ‘Elimu asiyoijua’ kwa njia ya ‘asiyoitarajia’

Kila mfuatiliaji wa muziki hapa nchini atakuwa anajua kuwa Ngosha Ze Don ni Fid Q na ndiye huyo huyo Farid Kubanda na wakati huo...

KUSIMAMIA WASANII NI BIASHARA ‘KIMEO’ ZAIDI BONGO?

Staa wa Bongo Fleva Diamond Platnumz anaonekana kuchukua kasi kubwa ya kuwachukua wasanii wachanga na wakongwe ambao wamekosa menejimenti za uhakika za kuwasaidia kufika mbali zaidi. Hivi...

Beyonce ‘kitumbo’ kuperform Grammy

Staa wa Pop wa Marekani, Beyonce amekubali kufanya performance kwenye utoaji wa tuzo za Grammy licha ya kuwa mjazito wa watoto mapacha. Baba mzazi wa...

Staa umpendaye anajichanganya na nyiniyi?

Ni mara ngapi kwenye maisha umeona watu wenye utajiri, mali, fedha na dhamana kubwa ya madaraka wameweza kuishi maisha yanayofanana na watu wasio katika...

Huwezi kumtaka Diamond kiofisi mkakutana baa, mtakutana ofisini kwake – Professor Jay

Mbunge wa Mikumi ambaye ni msanii mkongwe wa muziki wa Hip Hop, Joseph Haule ‘Professor Jay’ Jumatatu hii alitembelea ofisi ya WCB na kujionea...

Salome ya Diamond Platnumz ‘imenunua views YouTube’? Huu unaweza kuwa ushahidi

Unajua ni label gani imefunika kwa kuuza ngoma zake kwenye mtandao wa MKITO mwaka 2016? Rocka4000 imefunika tena, unajua kwanini? Kwasababu mastaa wake LadyJaydee na...
video

MUZIKI imefunika 2016: Ushahidi wa video za wazi huu hapa!!

Ngoma ya MUZIKI ya rapa Darassa imeingia kwenye rekodi nyingine ya hatari………….  Haina haja ya kuelezea mengi na kumaliza uhondo wa MUZIKI  hebu cheki...

Is it a ‘slip of the tongue or common attitude’?

Kuna msemo wa hekima ya hali ya juu kabisa unasema: Ukitaka kudhihirisha aibu ya mwenzako basi kwanza dhihirisha aibu zako. Kwa bahati mbaya sana, msanii na...

Waigizaji wa Bongo movie wampongeza Waziri Nape Nnauye

Mastaa wa Bongo movie, Kulwa Kikumba 'Dude' na Ahmed Olotu 'Mzee Chilo' wamempongeza waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Mh Nape Nnauye kutokana...

Profesa Jay aupa shavu muziki wa singeli

Staa wa Hip-Hop nchini, Joseph Haule  "Profesa J" ameusifia muziki wa singeli umbao unafanya vizuri sana katika jiji la Dar es Salaam kwasasa tofauti...
video

Darassa anapozikataa ‘hekima’ za Mwana FA, AY na Madee….anapotea?

Staa wa HIP HOP ambaye kwa sasa hakuna swali shaka kuwa ngoma yake ya MUZIKI ndiyo inayo-bang zaidi kwenye ukanda wa Afrika Mashariki, Darassa...

Above In a Minute ya Navy Kenzo yaweka rekodi mpya Bongo

Kundi la Navy Kenzo linaloundwa na mastaa wawili wapenzi, Nahreel na Aika limeweka historia ya kuwa kundi la kwanza kutoka Tanznaia ambalo albamu yake...

Flora Mbasha kuachana na mfumo wa kuachia albam

Mwanamuziki wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha amesema mwaka huu utakuwa ni wa mwisho kwake kutoa albam na kwamba atakuwa anaachia single ili aweze...
video

Harmonize na Wolper ‘CHALIIIII?’ au ‘#TeamUjanja ujanja?

Ikiwa haijapita hata siku 5 tangu Wolper na Harmonize wapiugwe picha wakieana kiss moto moto kwenye onyesho lililofanyika Dar Live chini ya uandaaji wa...

Nani kuutambulisha mwaka 2017 wa WCB?

Umemis ‘ngoma mpya’ za WCB? Unataka collabo au unataka solo? Unataka ngoma mpya ya nani; Diamond Platnumz, Harmonize, Rayvanny, Mavoko au Queen Darleen? Kwa mujibu...

Mastaa walioahidi ‘kusepa’ Trump akishinda uchaguzi na kauli zao

RAVEN -SYMONE Kauli yake: 'I will move to Canada if any Republican gets nominated' NE-YO Kauli yake: 'Me and Drake gonna be neighbors if Donald Trump becomes president'  GEORGE...

JB ndani ya igizo la “Kumekucha”

Staa wa Bongo movie, Jacob Steven ‘JB’ ameshiriki katika igizo la "Kumekucha" ambalo limeandaliwa kwa ajili ya kuhamasisha vijana kujishughulisha na kilimo kutokana na...

Rapa Molemo ‘Jub Jub’ Maarohanye aachiwa kwa msamaha

Rapa mtata wa Afrika Kusini Molemo 'Jub Jub' Maarohanye, ambaye aliua watoto wanne wakati wa onyesho la mashindano ya magari ya kuvuta mizigo mwaka...

Roman Polanski ajitoa kwenye nafasi ya haji wa tuzo za Cesars

Muongozaji wa filamu Roman Polanski amejiondoa kwenye jopo la majaji wa tuzo za Cesars za nchini Ufaransa kufuatia mashabiki kuonyesha waziwazi kukerwa na kuchaguliwa...

Wolper ajiunga rasmi CCM

Staa wa Bongo movie, Jacqueline Wolper amejiunga rasmi na Chama tawala CCM baada ya kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo "CHADEMA" ambapo alikuwa mwanachama...

Ben Affleck atemwa kuongoza Batman

Staa wa filamu za Batman, Ben Affleck ameondolewa kwenye jukumu la kuongoza filamu mpya ya Batman baada ya kupewa jukumu la kuigiza kwenye filamu...

Starehe za kufuru zamfilisi staa wa filamu za Pirates of the Caribbean, Johnny Depp

Staa wa filamu za Pirates of the Caribbean, Johnny Depp ameambiwa ajilaumu mwenye kwa matatizo ya kifedha yanayomkabili hivi sasa kwasababu alikuwa akiishi kifahari...

MOST POPULAR

CELEBS

Kanda za Bob Marley zilizookotwa baada ya kupotea kwa miaka 40...

Kanda za maonyesho wa gwiji wa muziki wa Reggae Bob Marley ambazo ziliokotwa baada ya miaka 40 kwenye hoteli iliyotelekezwa jijini London zimetengezwa. Kanda hizo...

SPORTS

Atletico Madrid yaibamiza Marseille na kutwaa ubingwa wa Europa Ligi

Klabu ya Atletico Madrid imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Europa ligi baada ya kuifunga Olympique Marseille 3-0 katika mchezo wa fainali uliofanyika jana. Magoli ya Atletico yakifungwa na Antoine Griezmann dakika ya 21 na...

De Gea ashinda tuzo Golden Glove

Golikipa wa Manchester United, David De Gea ameshinda tuzo ya Golden Glove award katika ligi kuu Uingereza akimshinda golikipa wa Manchester City, Ederson. Ameshinda tuzo...

Gerrard ateuliwa kuwa kocha wa Rangers

Kiungo wa zamani wa klabu ya Liverpool, Steven Gerrard ameteuliwa kuwa kocha mpya klabu ya Rangers ya nchini Scotlannd kwa mkataba wa miaka minne.   Gerrard...