Tuesday, January 28, 2020

Hizi 5 za Diamond Platnumz ‘ZIMEFUNIKA 2016’……views milioni 43 YouTube

Ushindani kwenye muziki nchini Tanzania hususani kwenye Bongo Fleva unazidi kuongezeka na hili limeweza kuwapa fursa kubwa sana ya kupata malipo makubwa wasanii wengi. Lakini...

Vanessa Mdee aifungukia ‘kashfa ya unga’ ya Makonda

Staa wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee a.k.a Cash Madame nae amevunja ukimya kuhusiana na sakata la ‘unga’ la Mh. Paul Makonda. Staa huyo mwenye uhusaino...
video

Darassa anapozikataa ‘hekima’ za Mwana FA, AY na Madee….anapotea?

Staa wa HIP HOP ambaye kwa sasa hakuna swali shaka kuwa ngoma yake ya MUZIKI ndiyo inayo-bang zaidi kwenye ukanda wa Afrika Mashariki, Darassa...

Wema Sepetu awaweka fans wake roho juu kwa ‘ubuyu’

Staa wa Bongo Movie na mlimbwende wa zamani wa Tanzania, Wema Isack Sepetu huenda akawa ndiye staa wa kike ndani ya Bongo aliyewahi kuwa...

Audio: Wema Sepetu afunguka ‘mazito’ kuhusu ishu ya ‘UNGA’

Sakata la kukamatwa kwa wasanii mastaa ndani ya Bongo limekuja na sura nyingine baada ya staa Wema Sepetu kurekodiwa akilaumu mambo mbalimbali kuhusiana na...
video

Video: Pacha wa Harmonize aachia USIGAWE PASI. Tumepata HARMO-SQUARE?

Underground aliyetajwa na kuvumishwa kuwa na undugu na staa wa WCB, Harmonize naye ameachia ngoma yake. Chipukizi huyo anayejiita HARMORAPA huku akitokea mkoani Mtwara sambamba...

Jux na Vee Money kumwagana?

Huenda hii ikawa ndio couple pekee kwenye uwanja wa Bongo Fleva ambayo iko ‘OPEN’ na bado inaendelea kushamiri, ukiachilia couple ya Navy Kenzo. Ingawa tofauti...
video

Diamond Platnumz amechanganyikiwa na anahitaji msaada?

Kila mpanda ngazi hushuka na kila mchimba kaburi ‘HUINGIA MWENYEWE’. Hakuna ukosefu wa hekima na busara kama kumkimbiza chizi anayeiba nguzo zako wakati unaoga kisha...

Fid Q anapomfundisha Q Chillah ‘Elimu asiyoijua’ kwa njia ya ‘asiyoitarajia’

Kila mfuatiliaji wa muziki hapa nchini atakuwa anajua kuwa Ngosha Ze Don ni Fid Q na ndiye huyo huyo Farid Kubanda na wakati huo...

Roma Mkatoliki na Ney wana ‘BIFF’ na Madee?

Tangu arejee kutoka safari ya Ulaya, rapa wa Tip Top Connection a.k.a Rais wa Manzese, Madee Ali ameonekana kuandamwa na ‘mikosi’. Staa huyo aliyekwenda nchini...

Diamond anavyoanza kuwaliza mashabiki wake

Diamond Platnumz ameamua kuingia mkataba na kampuni ya kimataifa Universal Music Group (UMG) ili iweze kumsapoti kusambaza nyimbo zake. Ni dili ambayo thamani yake kwa...

Darassa anatafuta maneno na #TeamSIMBA #TeamWCB #TeamDiamondPlatnumz?

Staa wa HIP HOP, Darassa anaitafuta ‘biff’ na Diamond Platnumz au fans wanashindwa kuelewa kuwa ana lengo la kumsaidia Dangote? Mwanzoni zilianza tetesi kuwa ngoma...

Majonzi: Kundambanda wa Vituko Show afariki dunia

Muigizaji maarufu wa vichekesho nchini, Ismail Issa Makombe maarufu kama "Baba Kundambanda"  amefariki dunia akiwa nyumbani kwake Masasi mkoani Mtwara. Mchekeshaji huyo alipata umaarufu kupitia...
video

Harmonize na Wolper ‘CHALIIIII?’ au ‘#TeamUjanja ujanja?

Ikiwa haijapita hata siku 5 tangu Wolper na Harmonize wapiugwe picha wakieana kiss moto moto kwenye onyesho lililofanyika Dar Live chini ya uandaaji wa...
video

Jambo KUBWA la kufungulia mwaka 2017 la Diamond Platnumz hili hapa

Kupitia video yake aliyoiweka Instagram na kutangaza kuwa mwaka 2017 utakuwa na mambo makubwa zaidi, hatimaye Diamond Platnumz ameanza kuyaweka wazi mambo hayo. Unaikumbuka track...

Diamond na Rayvanny kuwapa ‘SALOME’ wachezaji bora wa Afrika ‘USIKU HUU’

Mastaa wa WCB Diamond Platnumz na Rayvanny kw apamoja wanatarajia kuwa miongoni mwa watumbuizaji kwenye utoaji wa tuzo za mchezaji bora wa Afrika zinazofanyika...
video

HISTORIA: La La Land yakusanya tuzo zote kwenye vipengele ilikotajwa

Filamu mpya ya La La Land imefanikiwa kushinda tuzo saba kutoka kwenye vipengele saba ilivyotajwa kugombea kwenye tuzo za Golden Globe Awards’. Tuzo hizo ni...
video

Nyota Ndogo: Moyo Sukuma Damu ni NOOOUMA….Wakenya Tukubali tu

Unamkumbuka staa wa Kenya, Nyota Ndogo? Au umeisahau ‘WATU NA VIATU?’. Kwnye sanaa sio kitu rahisi sana kwa mpinzani kunyoosha mikono juu na kwenda ‘Mwendo...

Wema Sepetu na mastaa watatu bado ‘LOCK UP’

Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam linaendelea kuwashikilia mastaa wawili wa Bongo Fleva, Nyandu Tozi na Khaleed Mohamed a.k.a TID pamoja na mastaa...
video

Hit ya Darassa, ‘MUZIKI’ imepotea Tanzania na kuibukia Kenya?

Ingawa imeanza kupotea kwenye masikio ya wasikilizaji wengi wa Tanzania lakini ngoma MUZIKI ya Darassa bado ni moto wa kuotea mbali. Kama ilivyotingisha nchini Tanzania...
video

MUZIKI imefunika 2016: Ushahidi wa video za wazi huu hapa!!

Ngoma ya MUZIKI ya rapa Darassa imeingia kwenye rekodi nyingine ya hatari………….  Haina haja ya kuelezea mengi na kumaliza uhondo wa MUZIKI  hebu cheki...

Nani kuutambulisha mwaka 2017 wa WCB?

Umemis ‘ngoma mpya’ za WCB? Unataka collabo au unataka solo? Unataka ngoma mpya ya nani; Diamond Platnumz, Harmonize, Rayvanny, Mavoko au Queen Darleen? Kwa mujibu...

Mtazamo wa Nikki wa Pili na kitendawili cha Diamond Platnumz na Ali Kiba

Kwenye moja ya interview zake mwaka jana, staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz alinukuliwa akitaja makamapuni kadhaa makubwa ya muziki yaliyotaka kumsaini ili awe...

Diamond Platnumz kufunika na ‘DIAMONDS ARE FOREVER Season II’

Unaikumbuka shoo ya ‘DIAMONDS ARE FOREVER’? Umei-miss? Baada ya kupotea kwa miaka kadhaa, lebo ya WCB chini ya mameneja wake wanairudisha tena shoo ya DIAMONDS ARE...

Salome ya Diamond Platnumz ‘imenunua views YouTube’? Huu unaweza kuwa ushahidi

Unajua ni label gani imefunika kwa kuuza ngoma zake kwenye mtandao wa MKITO mwaka 2016? Rocka4000 imefunika tena, unajua kwanini? Kwasababu mastaa wake LadyJaydee na...
video

Matonya na Jide kurudi na ‘Anitha remix’?

Ni kama Bongo Fleva INAZALIWA UPYA vile. Ukitazama kwa sasa, Bongo Fleva imeanza kubadilisha muelekeo na WAKONGWE wanaonekana kuanza kuchukua nafasi zao. Baada ya Lady...

WCB kuko shwari?

Ingawa maneno mengi yanazungumzwa juu ya nafasi wanazopewa wasanii wa WCB kwenye kuachia kazi zao pamoja na kila mmoja kutaka kuthibitisha ubora wake lakini...

AFRIMMA 2016: Kiba, Diamond, Vee Money, Yamoto ndani

Mastaa wa Bongo fleva, Ali Kiba, Diamond Platnum, Vanesa Mdee na Linah wamechaguliwa kuwania tuzo za Afican Music Magazine Awards "AFRIMMA" zitakazo fanyika nchini...

Kanda za Bob Marley zilizookotwa baada ya kupotea kwa miaka 40 zarekebishwa

Kanda za maonyesho wa gwiji wa muziki wa Reggae Bob Marley ambazo ziliokotwa baada ya miaka 40 kwenye hoteli iliyotelekezwa jijini London zimetengezwa. Kanda hizo...
video

Video: Harmonize ampigia magoti Wolper warudiane

Lile penzi la mastaa, Harmonize na Jacqueline Wolper amble lilianza kwa mbwembwe na madoido ya kila aina kisha likaja kukatika kama tui la nazi...

MOST POPULAR

CELEBS

Kanda za Bob Marley zilizookotwa baada ya kupotea kwa miaka 40...

Kanda za maonyesho wa gwiji wa muziki wa Reggae Bob Marley ambazo ziliokotwa baada ya miaka 40 kwenye hoteli iliyotelekezwa jijini London zimetengezwa. Kanda hizo...

SPORTS

Atletico Madrid yaibamiza Marseille na kutwaa ubingwa wa Europa Ligi

Klabu ya Atletico Madrid imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Europa ligi baada ya kuifunga Olympique Marseille 3-0 katika mchezo wa fainali uliofanyika jana. Magoli ya Atletico yakifungwa na Antoine Griezmann dakika ya 21 na...

De Gea ashinda tuzo Golden Glove

Golikipa wa Manchester United, David De Gea ameshinda tuzo ya Golden Glove award katika ligi kuu Uingereza akimshinda golikipa wa Manchester City, Ederson. Ameshinda tuzo...

Gerrard ateuliwa kuwa kocha wa Rangers

Kiungo wa zamani wa klabu ya Liverpool, Steven Gerrard ameteuliwa kuwa kocha mpya klabu ya Rangers ya nchini Scotlannd kwa mkataba wa miaka minne.   Gerrard...