Cardi B aweka rekodi tuzo za Grammy

0
136

Mwanamuziki wa Marekani, Cardi B amevunja rekodi ya kuwa mwanamuziki wa kike kupokea tuzo ya album bora ya rap.

Katika kipengele hicho alikuwa anashindana na wasanii wakali katika game akiwemo, Pusha-T, Macmiller, Nipsey Hussle na Travis Scott .

Baada ya kupokea tuzo hiyo aliwashukuru wote  waliohusika kutengeneza album yake kwa kuchangia hata mchango wa mawazo na washiriki ambao walikuwa kwenye kipengele kimoja kugombea naye tuzo.

Mwanadada Lauren Hill ndiye wa mwisho kunyakua tuzo ya kundi  kwa album bora ya rap, ‘The Core’  mwaka 1995.

Baadhi ya marapa wa kike akiwemo Lil Kim  na Remy Ma walitpa pongezi  kupitia akaunti zao za tweeter.

LEAVE A REPLY