Bushoke: Diamond Platnumz ni ‘exceptional’ tumuige

0
766

Staa wa Bongo Fleva, Bushoke ambaye alipotea kwenye ramani ya muziki huo kwa muda mrefu ameibuka na kukiri kuwa Diamond Platnumz ndiye staa wa tanzania anayepaswa kuigwa zaidi kutokana na mafaniko ambayo ameyapata kimuziki.

Bushoke ambaye mpaka leo haijajulikana iwapo alishindwana na lebo ya QS Mhonda Entertainment amedai kuwa historia ya Diamond ndio hasa kiini cha kuvutia kwa wasanii kujifunza.

Sote tunajua Diamond alikotokea na mafanikio aliyoyapata leo’.

Wikiendi iliyopita Diamond alishinda tuzo ya Msanii Bora Afrika Mashariki kwenye tuzo za Afrimma 2016 zilizofanyika marekani.

Wafanye collabo?

LEAVE A REPLY