Bruno Mars na Card B ndani ya ziara moja ya kimuziki

0
274

Mwanamuziki wa Marekani, Bruno Mars ametangaza kufanya ziara yake ya kimuziki iitwayo  ‘24K Magic World Tour’.

Katika ziara hiyo Bruno Mars anatarajiwa kuongozana na mrembo anayefanya vizuri kwa sasa kwa upande wa Hip Hop Cardi B.

Tamasha la msanii huyo litawashirikisha pia wasanii wengine ambao ni Anderson .Paak, Camila Cabello, Dua Lipa, Jorja Smith, DNCE, Bebe Rexha, na Nick Jonas.

24K Magic World Tour itahusisha maeno kama Boston, Brooklyn, Dallas, Denver, Detroit, Los Angeles, Nashville, Philadelphia, St. Paul, Toronto na Tulsa.

LEAVE A REPLY