Billnas achukizwa na wanawake wanaojichubua

0
1482

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Billnas ameweka wazi kuwa hawezi kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na mwanamke ambaye anajichubua.

Billnas ameweka wazi kuwa kitendo cha mwanamke kubadilisha rangi yake ya mwili kutoka Kwenye weusi asilia kuwa mweupe anakuwa kama amejikataa mwenyewe.

Bilnass amesema kuwa hapendi wanawake wanaopenda kujichubua kwasababu wanapoteza uhalisia wa ngozi zao hivyo yeye apendelei wanawake hayo.

Baada ya kuachia kibao chake kipya ‘Labda’ Bill Nas alitangaza kuwa video hiyo ilidukuliwa katika mtandao wa Youtube na kufutwa kitendo ambacho kilimuumiza sana.

LEAVE A REPLY