Berlusconi aiuza AC kwa Wachina

1
303

Mmiliki wa miamba ya soka ya Italia na waziri mkuu wa zamani wa nchi hiyo, Silvio Berlusconi ameiuza klabu hiyo kwa wawekezaji wapya kutoka China.

AC Milan ambao ni mabingwa mara 7 wa Ligi ya Mabingwa Ulaya na timu yenye mafanikio makubwa zaidi nchini Italia ilikuwa chini ya umiliki wa Berlusconi tangu mwaka 1986.

1 COMMENT

LEAVE A REPLY