Ben Pol azama kwenye penzi la mkenya

0
207

Mwanamuziki wa Bongo fleva Bernard Paul maarufu kama Ben Pol amedaiwa kuzama ndani ya Penzi zito Mtoto wa Bilionea kutoka nchini Kenya anayeitwa Tabitha Karanja.

Binti ambaye anatajwa kuwa kwenye mahusiano na Ben Pol  anaitwa Anerlisa Mugai mwenye umri wa miaka 30 ambaye pia mfanyabiashara.

Ben Pol ameonekana kuwa karibu zaidi ya Anerlisa ambaye ni bosi wa kampuni ya kutengeneza maji ya chupa iitwayo, NERO company ambayo inazalisha maji ya Executive.

Kwa sasa wawili hao kwa pamoja wamekuwa wakisafiri sehemu mbalimbali za dunia. Hivi karibuni muimbaji huyo alionekana akiwa amepanda first class emirates ambayo inakadiriwa ni zaidi ya tsh milioni 40 kwa tiketi moja.

LEAVE A REPLY