Ben Pol akutana na mshindi wa Ishi Kistaa

0
249

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Ben Pol akipata Iftar pamoja na mshindi wa Ishi Kistaa aitwae Pendo ambaye amekutanishwa nae.

Mshindi huyo amekutana na Ben Pol baada ya kushinda shindano linaloendeshwa la Ishi Kistaa hivyo akapata nafasi ya kukutana na Star ampendae.

Ben Pol akifuru pamoja na mshindi wa Ishi Kistaa
Ben Pol akifuru pamoja na mshindi wa Ishi Kistaa

Ben Pol alikutana na shabiki yake huyo katika hoteli ya Golden Tulip iliyopo jijini Dar es Salaam na kupata nafasi kufuru nae.

Ben Pol alisaini dili na kampuni ya Green Telecom Limited inayojihusisha na masuala ya mawasiliano na IT kwa ajili ya kampeni ya Ishi Kistaa season 2.

IMG_1282 (1)B

Je na wewe unataka kuwa mshindi wa Ishi Kistaa andika neno STAR kwenda 15670 (mitandao yote) ili ukutane na Star umpendae.

Mshindi wa Ishi Kistaa Pendo akipata futari
Mshindi wa Ishi Kistaa Pendo akipata futari

LEAVE A REPLY