Ben Pol adaiwa kuachana na mpenzi wake

0
79

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Ben Pol  amabae alikuwa katika mapenzi mazito na mwanadada Anerlisa kutoka nchinu Kenya inasemekana kuwa penzi lake na mwanadada huyo limevunjika.

Tetesi za kuachana kwao zimeenea baada ya wawili hao hao kutokuonekana pamoja hivi karubuni na hata mwanadada huyo kufuta picha za msanii huyo katika ukursa wake.

Wawili hao ambao walifika mpaka katika hatua ya kutambulishana kwa wazazi wanasema kuwa inawezekana kwa sasa wako katika migogoro na ndio maana hata mwanadada hyo ameamaua kufuta picha aliwahi kupiga nae hasa zile za siku ya utambulisho.

Lakini pia mwanadada huyo anaonekana kum-block mwanamuziki huyo kutoka tanzania ingawa bado haijathibitika kama wako katika mtafaruku, wameachana au wana sababu zao binafsi za kufanya hivuo.

Ben Pol ajaongelea suala hili japokuwa limeanza kuenea katika mitandao ya kijamii kwamba wawili hao hawapo pamoja na kama zamani.

LEAVE A REPLY