Bashe aliandikia Bunge barua kuhusu kuundwa tume ya kuchunguza matukio yanayohatarisha usalama wa taifa

0
105

Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe ameliandikia barua Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania akitaka kuundwe Tume teule ya Bunge kuchunguza matukio yanayohatarisha Usalama wa Taifa.

Bashe ameyataja baadhi ya matukio ambayo angependa kamati hiyo iyachunguze ni pamoja na kusinyaa kwa demokrasia na haki za raia, kupotea, kutekwa, kuuawa kwa Raia na kupigwa risasi kwa raia na kikundi cha ‘watu wasiojulikana’.

10a9060a-ebc4-4b45-ac12-bfe6e7a42b7b

LEAVE A REPLY