Basata yawafungulia Diamond na Rayvany

0
172

Balaza la Sanaa la Taifa (BASATA) limetoa taarifa Januari 22, 2019 kuwafungulia wasanii Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Raymond Shaban Mwakyusa ‘Rayvan’ na Tamasha la Wasafi baada ya kufungiwa kwa kipindi kisichojulikana kutokana na sababu za kimaadili.

BASATA

LEAVE A REPLY